Diaspora rudini nyumbani

Wabeba boksi wengi wao wanahangaikia tumbo na rent maisha magumu sana kule
Wanaobeba maboksi walikimbia umande hao achana nao. Tunahitaje warudi wale waliojiendeleza ili kuinua nafasi zilizopo sio hao wanaosafisha vibibi vya kizungu huko. Tangu wameondoka hata nauli ya kurudi tu kusalimia inawashinda wanaishi kwa kutanga tanga tu.
 
Pumba
 
watu wanaofanya kazi nje wanatoa mchango mkubwa sana kwa maendeleo ya nchi kwa kutuma fedha za kigeni nyumbani.
Mnatoa mchango mkubwa sana kwa kutuma hela?

Fedha za kigeni mnazotuma ni asilimia ngapi ya GROSS NATIONAL PRODUCT ya Tanzania ?
 
Nikiangalia friji naona limejaa vyakula tu kila siku , friji lako limejaa maji ya kunywa tu na kisamvu
Hayo majibu yanaonyesha una stress za kufa mtu maana huwez kuanza kuongea kuhusu fridge ya mtu mwingine
Pole Ila usiwe na hasira unapoambiwa ukweli
 
Hayo majibu yanaonyesha una stress za kufa mtu maana huwez kuanza kuongea kuhusu fridge ya mtu mwingine
Pole Ila usiwe na hasira unapoambiwa ukweli
You have pressed a wrong button, sio saizi yako mm
 
Tuliopo tuko taabani akili za mbayuwayu changanyeni nazakwenu 'Things are going out of hands most of us are poverty striken'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…