Madiaspora wakituma hela kwa ndugu zao huwa zinaibwa na kuliwa kabisa. Pia masuala ya sheria ya kupokea hela Tz zimekaa vibaya. Ila Tunakumbushana tu. Mtanzania ni mtanzania tu. Uaminifu ni 0.Kuna wakati niliona nchi za Afrika ambazo diaspora wake wanaongoza kutuma pesa kwao either kusaidia ndugu, jamaa na marafiki zao, au kuwekeza kiuchumi.
Tanzania hatukuwa kwenye nafasi nzuri, tulipitwa na nchi ndogo kama Rwanda, naona huu ndio wakati wenu muanze kupambana kwenye eneo hilo.
Kuna wakati niliona nchi za Afrika ambazo diaspora wake wanaongoza kutuma pesa kwao either kusaidia ndugu, jamaa na marafiki zao, au kuwekeza kiuchumi.
Tanzania hatukuwa kwenye nafasi nzuri, tulipitwa na nchi ndogo kama Rwanda, naona huu ndio wakati wenu muanze kupambana kwenye eneo hilo.
Diaspora wengi especially kutoka Tanzania huwa wakifika huko pamoja wanamakaratasi wengi huwa wajiendelezi kielimu wamedhirika na kazi za warehouse na care,pia kuchukiana wenyewe kwa wenyewe upendo uliopo nyumbani nje sio rahisi kuupataUkishaona takataka inajiita Diaspora, inaiigiza Maisha mazuri iko mbeleeez.
Halafu kutwa kucha iko busy kwenye mitandao ya Kiswahili kujitapa tapa Mimi Diaspora, Mimi Diaspora unue Hakuna mtu hapo.
Njaaaaaaaaa kaliiiiiii
Halafu naona sasa hivi Black American kibao wanahamia sana Africa, hats Tanzania wamejaa kibao.Diaspora wengi especially kutoka Tanzania huwa wakifika huko pamoja wanamakaratasi wengi huwa wajiendelezi kielimu wamedhirika na kazi za warehouse na care,pia kuchukiana wenyewe kwa wenyewe upendo uliopo nyumbani nje sio rahisi kuupata