Samia aliyenyoosha nguo amekimbiaKwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444
Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444
Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi
Huo mtazamo wako na hapa wazo bovu unayojaribu kulijenga ni mtazamo wako hasi dhidi ya wazo la kupatikana katiba mpya.Kukujulisha TU Hilo ni lengo kuu la Sasa na haliitaji kusubiri hata dakika Moja kutoka Sasa.Katiba mpya ni Sasa.Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444
Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi
Punguza jazba mkuuMnatafuta justification ya kuendeleza Udikiteta na ukandamizaji lakini mwisho wenu uko karibu. Huyo aliyepigika Marekani na wewe unayeishi Kwa kutegemea kujipendekeza Kwa DC mnalingana?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Nakuvizia vizia corridor za Lumumba kupiga vizinga,SI Bora unayedai kapigika marekaniMnatafuta justification ya kuendeleza Udikiteta na ukandamizaji lakini mwisho wenu uko karibu. Huyo aliyepigika Marekani na wewe unayeishi Kwa kutegemea kujipendekeza Kwa DC mnalingana?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Kwahiyo Hana haki ya kuidai katiba mpya nyumbani,vipi kama ni mkimbizi kama walivyokuwa wahannga wengine.Mtu anakaa USA hamiliki hata pasi ya kunyooshea nguo, hata ya mkaa? Achilia mbali ya umeme?
Yule wa marekani amepigika kuliko huyu wa Tanzania.Mnatafuta justification ya kuendeleza Udikiteta na ukandamizaji lakini mwisho wenu uko karibu. Huyo aliyepigika Marekani na wewe unayeishi Kwa kutegemea kujipendekeza Kwa DC mnalingana?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Haraka haraka tusiwasahau hawa wafuatao, nao ni Diaspora pia; Uzalendo ukawasukuma wakaamua kurudi nyumbani otele pote mradi nao wasaudie kusukuma gurudumu la maendeleo: NYERERE, LIPUMBA, PENGO, SAMIA, BAGONZA, FATUMA (KARUME), MPANGO, BAREGU, NA LISSU. Ila huyu wa mwisho akainyea kambi akaona bora arudi majuu awe baunsa kwenye traffic packing.Yule wa marekani amepigika kuliko huyu wa Tanzania.
Yule kule hata mafao ya kukaa mtaani hapati kama hao wa marekani.
Pia inafikia mahali hawezi kujikimu hivyo anaishi kwa matatizo makubwa ughaibuni huku hata uwezo wa kujilipia ticket arudi nyumbani hawezi tena.
Usifikiri kuishi majuu ni raha kama mnavyochukulia.
Kule hata zile odd jobs lazima uwe na Documents halali.
Ndio chimbuko lao kulilia uraia Pacha.
Kazi Kuita Wanaume wenzake "MKUU".Nakuvizia vizia corridor za Lumumba kupiga vizinga,SI Bora unayedai kapigika marekani
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444
Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
Diaspora wote Duniani wa nchi zote, hawalingani, wako Diaspora ambao wako njema, na kuna diaspora choka mbaya. Nikiwa US, Boston, Massachusetts, kuna Diaspora mmoja, mama wa Kitanzania, mwenye watoto wawili, alifiwa na mzazi wake huku Tanzania, watu tukamchangia, ili aje kuwahi mazishi. Kulikuwa na Mkutano mkubwa wa kimataifa wa APARC pale BU, Watanzania tuliokuja mkutanoni tukajichanga, zilipatikana pesa ndefu, huyo mama akapewa fasta ili kumwezesha yeye na wanawe kuja home kuhudhuria mazishi.Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444
Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
Dah ila wazalendo mnapenda shari sana. Haya yote umeyaona kwenye picha tu?😀😀Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444