Diaspora wa U.S.A wanaonekana maisha yamewapiga japo wanaishi U.S.A kwenye katiba bora duniani, nadhani si Kila jambo ni katiba

Huyo Mama ndiyo Diaspora wote?
 
Hizo ziko smart na pass zimenyooshwa utalinganisha na midabwada aliyovaa huyo mtanzania choka mbaya
 
Tuwekee picha yako mkuu.
 
Huyu ni manka wa marangu

USSR
 


..huyu naye unaweza kumuita homeless.

..lakini mshahara wake ni usd 12.5 million per year.

..kwenye nchi za wenzetu usim-judge mtu bila kuwa na taarifa za uhakika ana mali kiasi gani.
 
Ulitaka anenepe kama Hadija Kopa ndio ujue kama ana maisha mazuri,
 
Hiyo kaikuta hapo anatest kama inamtosha. Hayo mengine unayajua wewe.
 
Usikute huyu aliyeandika haya ni diplomat wa huko huko Marekani mwenye machungu ya maisha. Ukweli ni kwamba mshahara aupatao diplomat wa kibongo huko Marekani hautofautiani na aupatao mbeba mabox, unaweza kukuta mbeba mabox anapata mashahara mzuri zaidi shinda mfanyakazi wa ubalozi na ndiyo maana Watanzania walio wengi wanaojuwa ukweli hawataki kufanya kazi Ubalozini sababu hakuna hela. Huyu Mama hata kama anaishi kwa pensheni huko Marekani yuko juu ya any diplomat, waje kubisha hapa na tuwekeane salary slips.
 
Bibi yupo shabby. Atakuwa anaishi homeless shelter huyu kafuata free t-shirt. Alivyo mfupi. tshirt hadi kwenye magoti.
 
Hizo ziko smart na pass zimenyooshwa utalinganisha na midabwada aliyovaa huyo mtanzania choka mbaya
Hazikunyooshwa walizovaa hao; zinatoka kwenye drier zikiwa damp na kuning'inizwa kwenya hanger tayari kwa kuvaliwa. Umeshawahi kuona ngua anazoaa Mack Zuckerbeg au alizokuwa akivaa marehem Steve Jobs?
 
Mnapoteza muda wenu kubishana na huyu mla vumbi chokambaya na wenzake. Hana hata uhakika wa mlo wake wa kesho, kazi kunukisha kikwapa kwenye daladala.
 
Akili za Lumumba mnazijua wenyewe.

Kwa akili yako mtu akiwa US anazeeka tofauti na yule wa Bongo. Weka picha ya Mama yako tufanye comparison...!!
Na kweli aweke na picha ya mama yake tuthaminishe kama ana uzuri wa huyo mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…