Diaspora wa U.S.A wanaonekana maisha yamewapiga japo wanaishi U.S.A kwenye katiba bora duniani, nadhani si Kila jambo ni katiba

Unaijua lifestyle ya watu wanaokaa huko na mavazi yao yalivyo........hao watu kuvaa smart sijui mkanda nje na suti siyo priority yao. Wewe kisa hujawahi kutoka hapa tandale unafikiri lifestyle za watu zinafanana kote duniani......
Haaaa haaaa wabongo ni balaa .wengi wanadhani uchumi ni busha .huyo beberu wa bongo akiingia state akakuta prof anadunda na bike huku suruali imetoboka sijui atasemaje. Wabongo wanaangalia appearance unakuta mtu home hata book haachi lakini mkanda nje utadhani dangote.
 
Yaan Chinembe unajihaibisha Sana.Kwanza inaonekana ww ni Chawa tu.Huna nyuma Wala mbele.Chawa unayelipwa kwa kuandika upuuzi humu JF na yule aliyepo State anapiga mzigo Nani amechoka maisha?
Asitupigie kelele aende zake akachunge moo kule chato kwao
 
Hivi kuwa choka mbaya kuna ondoa haki ya mtu kudai mambo ya msingi??

Katiba yetu hii ya 1977 imekemea sana mambo kama haya anayoleta mleta mada ya kubagua mtu kutokana na hali yake ya kiuchumi.
 
Frustrations zao wanazimalizia kwenye katiba mpya
 
Sio jazba bali kuna upotoshaji wa makusudi ili mradi nguo imefuliwa kwenye washing machine na kukaushwa!! Watu wako busy na kazi kusaka $$$$ hawana muda wa kuremba remba!! Nyie hamna kazi ndio maana mna muda wa kupoteza kupiga nguo pasi.
Wasaka katiba mpya ndio kazi za kufanya hamna

Kwani Katiba hii iliyopo imekuzuia kuwa busy kusaka noti na kutokuwa na muda wa kutembea remba?

Mbona wasaka noti akina bakheresa na Mo Dewji nk ni mabilionea kwa katiba hii hii iliyopo?
 
Madiplomat wa Tanzania bwana kwa kujitoa ufahamu, hawajambo. Sasa mnataka avaaje huyu Mama, aje kwenye mkutano kavaa suti na tie wakati ni mkutano tu wa kawaida? Sidhani kama kuna diplomat yeyote kule Marekani anamshinda Mtanzania afanyaye kazi kuuza duka, madiplomat hawana issue kwanza serikali yenyewe haina hela, huo mshahara mkubwa wapate wapi hao madiplomat? Mtazidi kulia sana kwa ushamba wenu wakati wenzenu wabeba mabox wanawaacha mbali kimaendeleo.
 
NILIJUWA UELEWA WAKO UKO JUU LAKINI UMENIANGUSHA.HAKUNA NCHI DUNIANI YENYE MATAJIRI TUPU HATA IKIWA KILA HUDUMA INAWAFIKIA ANANCHI KWA WAKATI.TOFAUTI LAZIMA.KWENYE UZI WAKO MALIZIA TU KUWA HOJA YAKO KUU UNAPINGA KATIBA MPYA.
 
Jamaa kipimo chake cha kuwa na maisha mazuri ni kupiga pamba kali, wazungu na hata black americans hawana mbwembwe sana kwenye mavazi.........unaweza kuta katupia nguo utafikiri tambara la kudekia na wala hajali, ndo maana wengi hadi maofisini wanavaa casually tu wakati bongo watu wanawekewa hadi sheria za mavazi maofisini.......eti kuvaa jinsi ofisini ni kosa, wakati huko wanako kopi na ku paste sheria wanapiga hadi kaptula ofisini, sembuse suruali ya jinsi......
 
Si mnasema katiba yetu inatufanya tuwe na maisha ya hovyo, Sasa hao wenye katiba bora mbona wako hivyo?

Huko kwenye katiba bora mbona mnabaguliwa na weupe na mnachapwa marisasi Kila siku? Mnanigwa na maafande mpaka pumzi zinakata, mnakufa
 
kumbe ndio maana shujaa alikuwa hataki kwenda huko kwa mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…