Dick Sound: Milionea aliyeanza kuuza maji, kufunga muziki Magomeni

Kutoa rim org iliyokuja na Gari kutoka Japan/UK halafu nikaweka jiko la mchina kutoka kwa dick siwezi aisee.

Ila wamasai hapa mjini hawajawahi kuisha.
Hahahaha eti jiko[emoji38][emoji1787]
 
Kumekucha kubwa ...upande upi unazungumzia
 
Huyo sasa ndy mwamba alikuwa anafunga miziki

Hawa wa sahv wote mbwembwe tu

Nikas yupo sema ka lay low anapiga mishe zingine mdg mdg

Ova
Mangi yuko na garage kubwa mitaa ya mbezi bieach,anatibu magari ya ulaya tu
 
Huyo sasa ndy mwamba alikuwa anafunga miziki

Hawa wa sahv wote mbwembwe tu

Nikas yupo sema ka lay low anapiga mishe zingine mdg mdg

Ova
Bado ana deal na magari sema nowadays alihamia mitaa ya mbezi sjui kama bado yupo palepale
 
Hamna kitu
Huyo ni tapeli tu.kuna sehemu nilikua nafanya kazi walijachanganya wakampa mali kauli ya kama 2.5m hivi.kawadhulumu mpaka leo huu mwaka wa 3,anatishia watu ni kibastola chake.
 
Bado ana deal na magari sema nowadays alihamia mitaa ya mbezi sjui kama bado yupo palepale
Najuaa si alikuwa na garage wakawa share na jamaa mmoja anaitwa kweka walikuwa mitaa ya block
Yupo mbezi beach ndiyo bado

Ova
 
 
 
 
 
 
Kumekucha kubwa ...upande upi unazungumzia
Kwa Radi ni upande wa kushoto kama unatoka bamaga Kwa Mbele kidogo baada ya kushuka kituo cha kumekucha uelekeo kama unaenda kijiwen kushuka kituo cha kumekucha.upande wa kushoto Duka la spare..upande wa kulia garage.

Kwa magoti ni upande kushoto kama unatoka kijiwe.kituo ni kumekucha karibu kabisa na duka la nguo za watoto hapo kituoni kumekucha.
Opposite na kanisa la KKKT sinza kumekucha

Karibuni jamani muwape riziki marafiki zangu 😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…