Dick Sound: Milionea aliyeanza kuuza maji, kufunga muziki Magomeni

Mtakaosikiliza hizo videos naomba mtujuze content yake zikoje. Nimeweka hapa kwa atakayetaka..
 
Watu hawataki kukubali jamaa ashatusua "
Mleta mada hii ndio hali halisi ya watanzania,,, ukiwa nacho unapondwa usipokuwa nacho pia unapondwa ....
Watu wala hawapigi kelele kwakuwa katusua,watu wanachoongelea ni huo umri ndio kwenye shida.Inamaana hta wewe hapo kwenye age huoni kama hakupo sawa????au ndio wenzetu kila kitu kupiga makofi
 
Sawa dear..nimeshapafahamu [emoji122][emoji122]
 
Siku moja nimeenda kwa mganga mida ya asbh ... yule mganga akawa kama kachoka hivi.. nikamuuliza vipi mzee? Akadai hajalala usiku mzima alikuwa anawaganga wachungaji. Nilishangaa sana
 
Ukisimuliwa kitu kichuje kwanza ili usije kuonekana muongo muongo
 
Uzuri dogo ana connection na watu maarufu wote unaowajua ww tanzania hii so kufanikiwa easy tuu. Kazi kubwa ya kujivunia ni kufanikiwa kujenga connection baaas
Connection haziji tu kama ushuzi

Ni akili tu mtu wangu

Wajinga-wajinga wengi huishia kujuana na walevi tu bar
 
Siku moja nimeenda kwa mganga mida ya asbh ... yule mganga akawa kama kachoka hivi.. nikamuuliza vipi mzee? Akadai hajalala usiku mzima alikuwa anawaganga wachungaji. Nilishangaa sana
We ulienda kufanyaje?!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Usisahau kamaliza darasa la saba akiwa na miaka 3,akafaulu na kuendelea na elimu ya secondary mpk form 4 akamaliza akiwa na miaka 6,then akaingia mtaani kuuza maji kwa miaka 2....kesho ntamalizia wasifu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…