bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,699
- 4,117
Anaandika Kibona Dickson:
Huwa sina tabia ya kujadili mambo ya watu binafsi.Leo,ngngoja nitoe maoni yangu juu post ya Joyce Kiria,inayozunguka sana kwenye social media.
Joyce Kiria ni mwanamke maarufu.Anajulikana na watu wengi kutokana kusaidia wengi na kuunganisha fikra za wanawake kupitia kipindi chake cha wanawake Live kinachorushwa na "EATV".
Kwa hakika amewaibua wengi kupitia kipindi kile,walionekana na kupata msaada.
Haya yote yanampa heshima katika jamii.Katika aspect hii she is good.
Kwenye ulingo wa siasa,inaelezwa alikuwa bega kwa bega na mumewe Wakati akiwa ana kesi ya ugaidi kule Tabora.Alionesha kuwa pamoja naye.Ninakumbuka kauli zake kwenye media-alionesha uvumilivu akitambua kipindi kigumu cha mumewe.Wakati wa Mwanga alionesha solidarity ya aina yake.
Kulingana na taarifa aliyoitoa kwenye social media,amedai kupokea kichapo kutoka kwa baba watoto wake.Andiko lake linalosambazwa sana mitandaoni linaonesha moyo wa mama huyo wa kichaga una huzuni na uchungu wa kupigwa.
Ni jambo baya sana kumpiga mke japo anaweza kuwa mkorofi.
Hatua ya Joyce kwenda kwenye media ni aibu.Ni dhahiri huyu mama ana hulka ya kutaka mapambano ili ashinde.Kwenye media lengo lake ni kuharibu image ya mumewe na kumdhalilisha.Ni makosa.Ni upungufu.
Huyu mama anaonekana ana hulka ya kupenda madaraka na kuthibiti mambo.Anafanya vizuri huku ndani akiwa ana dhamira ya Kum control mwanaume.Anatumia udhaifu wa kipato wa mumewe kutaka kudumisha nguvu na ushawishi.Ni kosa.
Joyce anatakiwa kumtii na kumheshimu mumewe hata kama anamzidi kipato.Mume anatakiwa kumpenda mkewe.
Ninamshauri Joyce Kiria,ajinyenyekeze na kumwomba msamaha baba wa watoto wake.Hapaswi kuwa na roho ya kupambana na muwewe.Pamoja na fedha zake,hatashinda.
Joyce,njia pekee ya kumtawala mume ni kumtii na kumheshimu.
kibonadickson@gmail.com.