Diclofenac 50Mg (A single pill) inakaa muda gani mwilini

Jiggy El Jefe

Senior Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
143
Reaction score
170
Wakuu,
nna dozi ambayo haifai kuchanganya na diclofenac, na natakiwa kuianza leo mchana, sasa jana mchana nlikunywa diclofenac pill moja, je mpk sasa itakua out of system ili nianze mchana huu dozi mpya? au nisubiri baada ya muda gani?
Nawasilisha Ndugu zangu.
 
Mkuu si useme tu unataka kunywa beer leo jana ulikunywa diclofenac tukujibu?
 
Wakuu,
nna dozi ambayo haifai kuchanganya na diclofenac, na natakiwa kuianza leo mchana, sasa jana mchana nlikunywa diclofenac pill moja, je mpk sasa itakua out of system ili nianze mchana huu dozi mpya? au nisubiri baada ya muda gani?
Nawasilisha Ndugu zangu.
kiu ya bia tayari? kwasababu kama ni kweli unataka kunywa dawa aliyekupa hiyo dawa angekushauri
 
Back
Top Bottom