Dear DICOTA Interim Secretariat:
The website tells very little of WHO you are, WHAT are you up to and WHY!
This looks like a Texas Council of Bongolanders!

Dear Colleagues:
We are glad to inform you that www.dicotaus.org; the website for the Inaugural Convention of the Diaspora Council of Tanzanians in America [DICOTA] is now LIVE.
Please accept our sincere apology for any inconvenience caused during the time when the website was down due to some unascertained technical difficulties.
Please pass the word around and let's know how we can make it better to serve you.
Best regards,
DICOTA Interim Secretariatankunga@dicotaus.org
Dear Colleagues:
We are glad to inform you that www.dicotaus.org; the website for the Inaugural Convention of the Diaspora Council of Tanzanians in America [DICOTA] is now LIVE.
Please accept our sincere apology for any inconvenience caused during the time when the website was down due to some unascertained technical difficulties.
Please pass the word around and lets know how we can make it better to serve you.
Best regards,
DICOTA Interim Secretariat[URL="http://us.mc361.mail.yahoo.com/mc/compose?to=ankunga@dicotaus.org"]ankunga@dicotaus.org[/URL]
Shukrani Mwawado... mimi namsubiri Utatala anijibu swali langu!Wale wahusika wa karibu tunaomba ufafanuzi kuna Uhusiano gani kati ya DICOTA na Mchungaji Mwakasege? Nimeangalia hii picha ya Viongozi waanzilishi wa Dacota napata picha kuwa vikao vya uanzilishi vilifanyika katika mikutano ya kidini ya Mchungaji Christopher Mwakasege.
Chama DICOTA kimeandikishwa kama NGO katika Jimbo la Minnesota,lakini naona vikao vyote vya uanzilishi vipo Houston,kwa nini vikao/ufunguzi huo usifanyike Minneapolis/St.paul,au Ufunguzi wake ungefanyika katika miji ya Indianapolis,St.Louis au Columbus ambayo kimtazamo ipo katikati ya USA ili kutoa nafasi kwa Watanzania wengi kuhudhuria?
Ukiangalia safu ya Uongozi kuna viongozi wawili na wake zao ni Viongozi waanzilishi,hali hiyo inaleta wasiwasi wa kuona kuwa Uongozi wa DICOTA ni kundi la watu wenye malengo yao binafsi na kutaka kutumia jina DICOTA ili kupata muitikio wa nguvu kutoka Serikalini.
Ukiacha hapa JF na website ya Ubalozi(ambako wamebandika Tangazo last week) hakuna Tangazo la DICOTA katika vyama mbalimbali vya watanzania Nchini Marekani.Hatuchukii kuanzishwa kwa umoja huo,lakini mwanzo wake umekuwa wa kinyemela mno kiasi cha kutia wasiwasi kwamba kuna hidden agenda.
Hata mimi sijasikia habari zozote kuhusiana na kuanzishwa DICOTA kupitia jumuiya yetu ya TCA hapa Midwest. Inawezekana kabisa DICOTA ni jumuiya iliyoanzishwa na kundi la watu fulani kwa maslahi yao binafsi.Wale wahusika wa karibu tunaomba ufafanuzi kuna Uhusiano gani kati ya DICOTA na Mchungaji Mwakasege? Nimeangalia hii picha ya Viongozi waanzilishi wa Dacota napata picha kuwa vikao vya uanzilishi vilifanyika katika mikutano ya kidini ya Mchungaji Christopher Mwakasege.