Did Amani Mahona Jidulamabambasi die a Natural death?

Did Amani Mahona Jidulamabambasi die a Natural death?

buchuja

Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
86
Reaction score
10
Huyu alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM.

Alifariki dunia 2010 kifo chake kina utata sana kwani vyombo vya habari vililipoti tofauti kabisa na uhalisia wa kifo chake.

Jamani naleta kwenu huu uzi uchangie ukweli wa kifo cha huyu jamaa
 
tuanze na definition za key words
what is the meaning of Jidulamabambasi
 
Alifali dunia katika harakati za kugombea ubunge jimbo la maswa magharibi mkoani shinyanga
 
Back
Top Bottom