Simps, as shallow as he is inawakilisha namna gani hii nchi inawapa umuhimu watu wasio na umuhimu!
Hawa watu wa Imani na dini na wanaosema ni watu wa Mungu wanaingiaga ccm kwa Malengo gani?
Maana kwa sasa misingi ya ccm sio rafiki kabisa kwa Haki, ni maslahi tu na hakuna lingine, Hana chochote huyu jamaa