beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Nilichek ile movie ya compton kuna times niliona dre akimkoromea suge.
[emoji13] [emoji2] [emoji3] maybe now anaweza akampayukia wakikutana maana nae kawa mwili jumba.That was bullshit! Dre barking at Suge? That shit didn`t happen in really life! That was the case of "victors writing history".
Aaah ww hakuna cha mwili jumba wa dre wala dadake nani. Suge akiwa mpole now its because ana mi case mahakamani. Suge ni shida ww...Eeeeh. Sio kama zamani though.[emoji13] [emoji2] [emoji3] maybe now anaweza akampayukia wakikutana maana nae kawa mwili jumba.
Aha ha ha haaa watu wa compton nao sometimes, mtu kama Game kumbe kelele nyingi tu kwenye lyrics zake ila ni kiazi tu akikutana na wakina Suge.Aaah ww hakuna cha mwili jumba wa dre wala dadake nani. Suge akiwa mpole now its because ana mi case mahakamani. Suge ni shida ww...Eeeeh. Sio kama zamani though.
Ivi wajua kipindi kile kuna feared gangstas huko compton walikua wanatesa lakini kwa suge walikua wanakua wapole. That dude was one of kind....watu na heshima zao walikua wanam fear kiseng*. He had his ways of doing things The Godfather way...tehe
Ni kama Pablo Escobar huko colombia....people feared going against him cz they knew the shit he z capable of doing. Its like hamna mseng* yeyote aliyeweza mfanya kitu.
[emoji13] [emoji2] [emoji3] maybe now anaweza akampayukia wakikutana maana nae kawa mwili jumba.
Ndio maana yake, asa Game si fal.a tu ana nn yule ??....yule suge kidogo league yake ni mtu mmoja anaitwa " Kenneth 'Supreme' McGriff (a once street mogul the boss of " The Supreme Team ". A new york drug/crack organisation/cartel in new york that operated in the 90's.Aha ha ha haaa watu wa compton nao sometimes, mtu kama Game kumbe kelele nyingi tu kwenye lyrics zake ila ni kiazi tu akikutana na wakina Suge.
Daah nimekupata sana [emoji109] [emoji109]Ndio maana yake, asa Game si fal.a tu ana nn yule ??....yule suge kidogo league yake ni mtu mmoja anaitwa " Kenneth 'Supreme' McGriff (a once street mogul the boss of " The Supreme Team ". A new york drug/crack organisation/cartel in new york that operated in the 90's.
Huyo msela alikua boss wake 50 Cent kwenye issue za ngada...kwenye ile movie ya 50 Cent - Get Rich or Die Trying. He was potrayed as Majestic. Mseng* daily turnovers za ngada kwenye organisation yake at the time zilikua $ 500,000 at lowest ni $ 300,000. He was a street mogul indeed.
Sasa huyo kwa kiasi flan ndio anaweza aka dindishiana na Suge....sio hawa watoto wengine. He z serving a life sentence.
Ndio maana yake, asa Game si fal.a tu ana nn yule ??....yule suge kidogo league yake ni mtu mmoja anaitwa " Kenneth 'Supreme' McGriff (a once street mogul the boss of " The Supreme Team ". A new york drug/crack organisation/cartel in new york that operated in the 90's.
Huyo msela alikua boss wake 50 Cent kwenye issue za ngada...kwenye ile movie ya 50 Cent - Get Rich or Die Trying. He was potrayed as Majestic. Mseng* daily turnovers za ngada kwenye organisation yake at the time zilikua $ 500,000 at lowest ni $ 300,000. He was a street mogul indeed.
Sasa huyo kwa kiasi flan ndio anaweza aka dindishiana na Suge....sio hawa watoto wengine. He z serving a life sentence.
Niliskia kitu kama hicho kuna don mmoja alikua drug dealer i think suge alienda kopa hela like a million dollar kianzisha deathrow records sikumbuki vizuri kama ni huyo unaemzungumzia. Lazma atakua alikua a top Don in the Bloods gang.Pia usimsahau Mike Harris aka Harry O, the "silent investor" in Deathrow.
Niliskia kitu kama hicho kuna don mmoja alikua drug dealer i think suge alienda kopa hela like a million dollar kianzisha deathrow records sikumbuki vizuri kama ni huyo unaemzungumzia. Lazma atakua alikua a top Don in the Bloods gang.
Niliskia kitu kama hicho kuna don mmoja alikua drug dealer i think suge alienda kopa hela like a million dollar kianzisha deathrow records sikumbuki vizuri kama ni huyo unaemzungumzia. Lazma atakua alikua a top Don in the Bloods gang.
Ntaitafuta....inshort suge alikua na hela ya kutosha tu sema inakua utata kuanzisha business na funds za proceeds of crime. Ma mwera wakishtukia wanafilisi kila kitu na wanakufungia ur future business attempts labda perhaps ikabdi amfate huyo msela as an Angel Investor.Kuna documentary inaitwa The boss lady: Married to the game (sina uhakika sana na hiyo boss lady). Inamuhusu mke wa Harry O, aliyekuwa anamwakilisha Harry Death Row. Nafasi na brief history ya Harry na Death Row imeelezewa fresh zaidi humo.
Ntaitafuta....inshort suge alikua na hela ya kutosha tu sema inakua utata kuanzisha business na funds za proceeds of crime. Ma mwera wakishtukia wanafilisi kila kitu na wanakufungia ur future business attempts labda perhaps ikabdi amfate huyo msela as an Angel Investor.
Kuna documentary ya kifo cha tupac walisema kulikua na links za Deathrow Records na illicit drug trafficking funds sema ndio vile wit Suge around ushahidi hautimii. Tehe
That is Correct.Harry zaidi ya hela, alikuwa na connections za kutosha kwenye entertainment industry. Alikuwa ana-play na kina Denzel and the likes. Nadhani pia David Kenner aliletwa Death Row na Harry.
Yeah anaitwa Lydia Harris.Kuna documentary inaitwa The boss lady: Married to the game (sina uhakika sana na hiyo boss lady). Inamuhusu mke wa Harry O, aliyekuwa anamwakilisha Harry Death Row. Nafasi na brief history ya Harry na Death Row imeelezewa fresh zaidi humo.
Yeah anaitwa Lydia Harris.
Being a grown man and not knowing how to stop being what you've been all your life ain't dumb. Dumb people never rise to the top, from completely nothing.
None of his contemporaries are facing what's he's facing, cuz none of them been what he been through. Judge a man after you've worked a mile in his.
Suge was built for trouble, and no matter how he tries to avoid it, it will always find him. Like the murder case he's facing, that shit found him. It's Bone that came after Suge, and the man was trying to flee.
Why are u so down with Suge? Suge was a Prince of Darkness! And he was always into darkness because thats was the only thing that match with the darkness of his own mind.
They overrated Dre in that movie. Dre never, and still has no balls to talk back to Suge. Kuna story kuwa siku wanarekodi in da club, Suge alitokea studio, wote wakakimbia.
No sio audio, ni wakati wana shoot video ya in da club, and that was a joke. Kuna wadada walimuoana suge anaingia club wakaanza kukimbia, ilitokea kitu kama tafrani hivi but hakuna aliye kimbia. G. Unit walikuwa na entourage yenye vichwa vibovu kama Bang Em Smurf etc.