Wewe hebu fuatilia comment zangu. Nimewaeleza huku mnakomaa na information za Wikipedia ambazo mtu yeyote anaweza andika. Acheni upoyoyo.
Kama mnataka kujifunza tutawapa elimu kwanini tunaimba huo wimbo. Siyo kuleta kenjeri na vijembe wakati nchi yenu ipo uchi na kwa vijembe tunajua kweli. Tunajua wapi yeti zenu zilipo.
Leta hoja tujadili uelimishwe.
Ninaona furaha sana unapoweka picha nyingi za Somalia na Nchi zingine hapa ukisema kuwa ni wajibu wa Wakenya kuwalisha. Kwa kweli, hii inaionyesha ya kuwa mnatambua Kenya kuwa "baba yao." tunaomba msamaha kwa kuwatelekeza watoto wetu, na tutajitahidi zaidi.
Swali langu ni je, kwanini wakati mwingine nyie (si watanzania wote humu jf though,) huwa na mazoea ya kutoelewa mada? Tunajadili kuhusu kuhusu wimbo wa Taifa. Kwanini nyie msijue mada ni ipi?
Kuna watanzania fulani ambao hawana ufahamu wa wimbo wao wa taifa na haya ni mageni. Siku moja nilimsikia mtanzania akijigamba kuwa SA wamecopy Wimbo wa wao taifa. Hata hivi sasa, nimemona mtu mmoja hapa akisema SA walikopi Bendera lao. Hamjui kuwa ni Nyie ndio mlicopy bendera ya ANC. Kwanini ubunifu hamna?
Kuhusu kuwekwa kwa miili ya wanajeshi wa Kenya, siwezi shuka kiwango cha kijinga kama hicho; hivi majuzi, wananchi wenu zaidi ya hamsini wameuliwa kikatili karibu na mpaka wa TZ na Rwanda, ni wakenya wangapi umeona wakisherehekea? Kweli baadhi yenu ni wajinga aisee.
Ndio zao hawa jamaa, wana matatizo kielimu, jamaa anatia aibu balaa.
Siku mtatoka kwenye hayo mambo ya kujikomba na kujidanganya na mambo ya undugu na Wasouth ndio mtaamka, mahusiano baina ya nchi hayana cha undugu wala nini, ila maslahi. Piga biashara basi, mengine ya undugu hayo tupa kule. Mlijifanya na kujiachia eti mnapigania ukombozi wa Wasouth, leo hii hao ndio wanawatafuna na hawana cha undugu wale, mtaendelea kujikomba kwao lakini wanaowaona tu Makwerekwere kama wafanyavyo kwa Wafrika wenzao.sasa hapa swala la elimu lipo wapi or wapi na wapi? maana inshu aliyoleta mwenzio ni kuhusu relation za kidiplomasia, Kenya wanaembas South Africa lakini relation kati ya South Africa na Kenya ni kama hakuna, same ilivyo kwa Namibia, Zimbabwe, Angola, Mozambique. Hakuna hata siku moja rais wa Kenya kapewa heshima or mwaliko wa kitaifa kwenye nchi hizo na pia hakuna hata day rais wa nchi hizo kuja Kenya kwenye sherehe za kitaifa or mwaliko wa kitaifa or sherehe za kuapishwa Rais wenu. Tanzania may not have embassy kwa nchi hizo but has solid diplomatic relations with those countries na why haina its a matter ya maamuzi or sababu nyingine.
sasa hapa Elimu unayosema ni ipi sielewi! Nyie ndio mnajipendekeza na kujikomba komba kwa inchi hizo, wao hawana mpango na nyinyi, hawana uhusiano wowote mzuri na nyie ila kujikomba kwenu mna vijiembas huko. How Uhuru was stranded in a hotel
MOST INFLUENTIAL COUNTRIES IN AFRICAWhich influence? The major things that brought Kenya onto the world podium are: post election violences, endless chaos, reckless handling of westgate episode, and deaths of university students.
Tafaadhali ficha upumbavu wako, hakuna speculations hapa, mm ni mwananchi mwanahistoria wa nchi husika, ninakupa facts, wewe ndio unaleta uongo na speculations. Mungu ibariki in xhosa is nkosi sikelel, it was used by ANC. No pan africanist would adhere use national anthem words composed by a white man. Ushaambiwa south africa itself uses only some words, Tz ndio imetumia maneno ya nkosi sikelel in swahili na waka adopt tune yao and made the song their national anthem. Sasa wewe mkenya na source zako unatuletea propaganda mzungu alitutungia wimbo, danganya wenzako sio wa Tz, walimu na mababu zetu walitufundisha kama nilivyokuelezea, hakuna mzungu alietutungia wimbo. Naomba ufunge huu mjadala maana unajifanya mjuaji, kumbe hujui kitu, just another egoistic dumb kenyan boy.
Hivi wewe pumba na hii misifa yote hujui Zimbabwe ipo wapi kwenye ramani ya dunia?We unakichaa! Ramani yako inaonesha eti mna uhusiano na Zimbabwe, Namibia na Tanzania hatuna! Lini mtaacha uongo aisee? Hakuna atasiku moja Rais yeyote wa Kenya ashapata State visit in South Africa, Namibia, Zimbabwe, Angola or Mozambique na haijapata tokea marais wa nnchi hizo kuja Kenya kwa state visit or sherehe za kitaifa or kuapishwa rais wenu. Na haitatokea any time soon kwa Kenya na Malawi due to your sins of supporting apartheid. We also have a very solid diplomatic relation with Algeria na rais wao keshatembea Tz mara kibao ingawa ramani yako feki na yakutunga inaonesha otherwise. Dah! Nyie ni waongo mno, you guys are extremely horrible people.
Siku mtatoka kwenye hayo mambo ya kujikomba na kujidanganya na mambo ya undugu na Wasouth ndio mtaamka, mahusiano baina ya nchi hayana cha undugu wala nini, ila maslahi. Piga biashara basi, mengine ya undugu hayo tupa kule. Mlijifanya na kujiachia eti mnapigania ukombozi wa Wasouth, leo hii hao ndio wanawatafuna na hawana cha undugu wale, mtaendelea kujikomba kwao lakini wanaowaona tu Makwerekwere kama wafanyavyo kwa Wafrika wenzao.
Wakati hao Wasouth walifanya fujo dhidi ya Waafirka wenzao, hawakuwasaza hata Wabongo, walipiga na kuua yeyote waliyekumbana naye asiye na asili ya Afrika Kusini. Soma jinsi mliishi kwenye makambi hapa Watanzania 23 waishi kambini Afrika Kusini
Hayo mambo ya marais kualikwa wakakenue meno kule huwa hatuna haja nayo, kwetu sisi hadi rais atoke nje ya nchi lazima iwe kwa manufaa ya taifa letu. Sio kama kwenu eti rais anaalikwa akashuhudie jinsi mfalme Mswati anaongeza kuoa mke wa kumi.
mnao jikomba ni nyie na siye hatuna mpango na nchi yeyote kusini mwa africa. Kinacho nishangaza kuhusu wakenya ni kimoja, kama ni inshu za udugu or ukombozi ni nchi nyingi, mozambique, zimbabwe, namibia, angola, uganda, but NO, South Africa!
Nini hasa kuhusu south africa? mna nini ninyi wakenya na south africa? Pia watanzania hao walio kambini walienda kwakua tu walitaka rudi bure kwa gharama za serikali, nimeishi south miaka najua vyema.
MOST INFLUENTIAL COUNTRIES IN AFRICA
4. Kenya
Kenya is a powerhouse in human resource capital. With the most educated population on the continent its also the fastest growing ICT hub in the continent. Its infrustructural development is fast catching up with south Africa and other Arab African countries. Its main strength is o its human capital where its professional traverse the globe.
It was recently voted as the one of the best places to live in the world…in terms of its humanitarian efforts. This follows the vast number of refugees hosted in camps around Kenya, this shows we are the best neighbors ever. Everyday you hear illegal immigrants comes from Uganda, Tanzania, Somalia and even Ethiopia..they all come here seeking for greener pasture, and save for the recent insecurities encountered, Kenya used to accomodate them.
Kenya is already have a working space agency with working satellite in Malindi. The government is planing to start a space programme that will send working satellites in space to help man Kenyan boarders. As from 2008 the government introduced courses in its universities on space exploration, like astrophysics and astronomy. Also with growing uptake of technology and the grand ICT plan of building an ICT park in Kenya like the one in California Kenya is showing great potential.
Pages: 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10
Africa's 10 Most Influential Countries (Big 5 and the Newcomers) - Page 4 of 10 - Africa Cradle
Hivi wewe pumba na hii misifa yote hujui Zimbabwe ipo wapi kwenye ramani ya dunia?
Nimekuambia sisi hatufuati mambo ya undugu, huo ni upuzi wa kutupa kule, tunafuata biashara na maslahi. Nyie muendelee kufuata hayo ya undugu wakati mnaliwa na kutafunwa na kubaki mahandaki matupu huku nchi ikiendelea kuwa maskini wa kutupwa ilhali mnafaa kuwa namba moja Afrika kwa utajiri kwa jinsi mlivyo na raslimali tangu enzi zile. Hayo ya undugu ndio yanafanya nchi yenu imekua shamba la bibi, mnatafunwa bila huruma.
Sisi hatupo Afrika Kusini pekee, tumewekeza kila sehemu kote kote. Nenda Sudan ya mwarabu na mweusi utatukuta, nenda SOmalia tunakwepa mabomu huku tukipiga biashara. nenda Uganda sisi ndio wawekezaji wakubwa kutokea kwa nchi za Afrika. Hata Rwanda, Burundi, na hata ndani ya Tanzania sisi ndio wawekezaji wakubwa kutokea nchi za EAC. Tunafanya yetu bila kufuatana na upumbavu wa undugu.
A debate with a dumb ass from Tz is painful. The guy claims to be giving facts but I will send you to the flow of this thread there is no where you ever provided any information you are calling facts. Go back thru the comments. I provided all what you claim to be facts lazy boy!!
Let me give back to you again before you get killed by hangover za vijiweni!!
"Mungu ibariki Afrika" was translated and became the anthem of Tanganyika. It was essentially assigned to Enoch Sontonga, who died in 1905. Mungu ibariki Afrika used the tune to "Nkosi Sikelel' iAfrika" with a Swahili translation of the words. It is not known who composed the lyrics but it is known that it was Samuel Mqhayi and Enoch Sontonga who created the early versions used by theAfrican National Congress.[2] Although the tune has been assigned to Sontonga it is thought that the tune was originally written byJoseph Parry.[3][1] wikipedia
MOST INFLUENTIAL COUNTRIES IN AFRICA
4. Kenya
Kenya is a powerhouse in human resource capital. With the most educated population on the continent its also the fastest growing ICT hub in the continent. Its infrustructural development is fast catching up with south Africa and other Arab African countries. Its main strength is o its human capital where its professional traverse the globe.
It was recently voted as the one of the best places to live in the world…in terms of its humanitarian efforts. This follows the vast number of refugees hosted in camps around Kenya, this shows we are the best neighbors ever. Everyday you hear illegal immigrants comes from Uganda, Tanzania, Somalia and even Ethiopia..they all come here seeking for greener pasture, and save for the recent insecurities encountered, Kenya used to accomodate them.
Kenya is already have a working space agency with working satellite in Malindi. The government is planing to start a space programme that will send working satellites in space to help man Kenyan boarders. As from 2008 the government introduced courses in its universities on space exploration, like astrophysics and astronomy. Also with growing uptake of technology and the grand ICT plan of building an ICT park in Kenya like the one in California Kenya is showing great potential.
Pages: 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10
Africa's 10 Most Influential Countries (Big 5 and the Newcomers) - Page 4 of 10 - Africa Cradle
Usijali, lakini ni kheri ukubali ya kwamba Kenya ndio moja kati ya mataifa babe zaidi barani humu, na ni powerhouse ya east na central Africa. Influence kubwa sana kwenye kanda hili tunalo."This follows the vast number of refugees hosted in camps around Kenya, this shows we are the best neighbors ever. Everyday you hear illegal immigrants comes from Uganda, Tanzania, Somalia and even Ethiopia..they all come here seeking for greener pasture, and save for the recent insecurities encountered, Kenya used to accomodate them."
Hivi ni camp gani huko Kenya wapo watanzania? Kuna Wakenya wengi mno wanaofanya kazi Tanzania kuliko jinsi ilivyo Kenya. Ndio maana mda wowote Tanzania inapotangaza kuwatimua wageni haram, wavamia kazi wakwanza kulia lia ni Wakenya na ni wengi tu wanadipotiwa, mbona hatuoni WaTz wakilialia. Kenya nayo ni sehemu ya kuishi binadam?
Usijali, lakini ni kheri ukubali ya kwamba Kenya ndio moja kati ya mataifa babe zaidi barani humu, na ni powerhouse ya east na central Africa. Influence kubwa sana kwenye kanda hili tunalo.
Halafu wanashinda humu wakibisha Kenya wametuibia hiki na kile.
A debate with a dumb ass from Tz is painful. The guy claims to be giving facts but I will send you to the flow of this thread there is no where you ever provided any information you are calling facts. Go back thru the comments. I provided all what you claim to be facts lazy boy!!
Let me give back to you again before you get killed by hangover za vijiweni!!
"Mungu ibariki Afrika" was translated and became the anthem of Tanganyika. It was essentially assigned to Enoch Sontonga, who died in 1905. Mungu ibariki Afrika used the tune to "Nkosi Sikelel' iAfrika" with a Swahili translation of the words. It is not known who composed the lyrics but it is known that it was Samuel Mqhayi and Enoch Sontonga who created the early versions used by theAfrican National Congress.[2] Although the tune has been assigned to Sontonga it is thought that the tune was originally written byJoseph Parry.[3][1] wikipedia
Bila kusahau wimbo wa Malaika, Fadhili Willams alihusikia kwa mara ya kwanza mjini Arusha alipofika Nairobi akazuga watu eti kautunga yeye!!!