Tatizo la Italia ni kuwa at this moment it is in a very bad shape (kwa viwango vya nchi zilizoendelea) Katika hali iliyopo ambayo gari ni bovu, huwezi kumlaumu dereva, au huwezi kutatua tatizo hilo kwa kubadilisha madereva, suluhisho ni kukarabati gari.
Lakini kwa sasa Italia hawana chaguo, hata Tanzania leo pamoja na kuwa tuko kwenye gari bovu, ukiwaambia watanzania wachague Mkomunisti na kabaila mhunimhuni kuongoza, wengi watachagua kabaila mhuni, hicho ndio kilichotokea Italia. Na Berlusconi mwenyewe atakaa kwa miaka miwili au mitatu ahalafu ataanguka tena.
Italia siasa zao ni nzuri sana, hadi nyota wa filamu za ngono wanakuwa wabunge, very representative democracy!