Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
Nilikuwa nimeshangaa tu jinsi siasa inavyoweza kuwasambaratisha watu waliokuwa classmates. hao wote walimaliza 1994 udsm law. if you don't care, why then did you write....that means you care for it very much.who care?
sikujua kama hii ni topic ya kijinga, either, mimi ni mjinga sijui kama hii ni topic ya kijnga, au wewe ni mjinga hujui kama topic hii si ya kijinga.Kajifunze kwanza maana ya Learned Brothers then next time huwezi kuja na topic za kijinga.