Did you know that December 25th was celebrated thousands of years before the birth of Jesus?

Inshu ni kusherekea kwa kusudio gani,hapo ndio penye mashiko
 
Wasabato mnapata tabu sana na ukiristo, tarehe 25/12, kinachosherekewa na wakristo ni kufanya kumbukizi ya kuzaliwa mwakozi wetu Yesu Kristo na sio matukio ya tarehe, na tunajua katika tarehe hiyo kuna happy birthday za watu wengi tu ambao kwa uhuru wao hawazuiwi kusherekea siku yao.
Msabato fanya mambo yako, sisi huku tunamtukuza Yesu
 
Wasabato mnatunga stori sana, izo stori mngezipeleka Hollywood mngekuwa mnapiga sana pesa.
Mkuu, soma historia utaelewa.
Ukweli ndiyo huo.

Lakini kupitia historia ya mabadiliko kunajifunua Yesu kristu amnaye kwa historia hakuzaliwa tarehe 25 Dec. Fungua kitabu cha sensa ya Wayahudi inaeleza in lini Yosefu na maria walienda kuhesabiwa.
 
Ni Wakristo fake tu wanaoamini kwamba Christmas is real.Hii imepenyezwa na Shetani ili kupata daraja la kuweza kuwashambulia watu wa Mungu.The Gospels of Mathew,Luke,John and Mark;the Epistles of Paul and the Book of Revelation do not mention Christmas anywhere!It is a con.
 
Sure mkuu
 
Sisi tunasherekea kuzaliwa kwa Yesu tarehe ya kubuni tar 25 kwa kuwa tarehe hyo wamezaliwa wengi kila mtu atasherekea mtu wake ila sisi tunasherekea kuzaliwa kwa Yesu wewe unaumia vipi.
Tuoneshe kwa maandishi kutoka kwenye Maandiko Matakatifu, Biblia, ambayo ni mafundisho ya Yesu, nadhani unamaanisha YESU KRISTO, aliposherehekea hiyo siku yake ya kuzaliwa au alipoagiza siku hiyo isherehekewe! Binafsi nasubiri kwa hamu nikiwa na Biblia yangu nisome hilo andiko!
 
Zaidi pia, limekuwa suala la kibiashara zaidi ambapo "wajanja wachache" nje na ndani ya makanisa wajipigia mihela ya bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…