Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Black History Month / Benjamin Banneker
Benjamin Banneker 1731 to 1806 {Bro.Ben- Bey} A FREE AFRICAN- AMERICAN Astro- Architect, astronomer, mathematician, surveyor, farmer and ...
Benjamin Banneker alizaliwa November 9, 1731mjini Baltimore Maryland. Baba yake Benjamin alikuwa mtumwa aliyenunuliwa na mama yake Mary Molly mwanamke wa Kizungu aliyemiliki mashamba. Benjamin alizaliwa wakati utumwa umetikomezwa lakini haki ya mtu mweusi ilikuwa duni sana.
Benjamin alipata elimu ndogo sana ya darasani. Elimu yake kubwa alipata kwa kujisomea na kujiendeleza mwenyewe. Alikuwa surveyor, mkulima na mwana mahesabu.
Mitaala ya elimu haimzungumzii huyu mtu minimums katika uvumbuzi. Nina hamu ya kujua na kuwaelezea mengi kuhusu Benjamin Banneker.
Steve Wonder aliimba “The Black Man” Waimbaji wa Motown waliimba “The first clock to be made in America was made by a black man”.
Huu mwisho unamaana heshima Benjamin Banneker mkulima, mwandishi na mtunzi, mwana ma hesabu na land surveyor.
Benjamin alisoma kidogo kwenye shule za Quaker lakini elimu yake nyingi aliipata kwa jitihada binafsi. Akiwa na umri wa miaka 15 alianza kufanya kazi shambani kama mkulima. Akiwa shambani alibuni kilimo cha umwagiliaji, Benjamin Banneker ndiye aliyebuni irrigation system na alivuna mazao wakati wa jua na mvua.
Lakini uchunguzi wa saa ndiyo uliyomfanya Benjamin Banneker kujulikana zaidi. Mwaka 1750 Benjamin aliazima saa ndogo ya mfuko ni kutoka kwa rafiki tajiri. Aliifungua saa ile na kujifunza namba ilivyofanya kazi
Baada ya kurudisha saa ile Banneker alichonga vipande vya mbao na kuchonga saa iliyofanya kazi vizuri tu tena kwa vizazi vingi. Tangu hapo Banneker alianzisha biashara ya kutengeneza na kurekebisha saa.
Benjamin alikuwa mjuzi wa nyota astronomy na mwaka 1789 alielezea eclipse cable haijatokea.
Mwaka 1790 Benjamini alianza kazi ya uandishi, aliandika jornals mpaka kwa wazir wa mambo ya nje wa Marekani kipindi hicho Thomas Jefferson . Makala zake zilijulikana kama Almanac and Ephemeris of Pennsylvania Delaware and Maryland. Journal hii ilichapishwa mara moja kwa mwaka na katika Makala zake alielezea ukomeshwaji wa biashara ya watu wazima na haki za mtu mweusi. Cha kusikitisha ni kuwa siku ya mazishi ya Benjamin Banneker moto mkubwa ili wala na kuteketeza kumbu kumbu zake nyingi.
Thomas Jefferson alipenda kazi za Banneker na alimteua kuwa kwenye team ya watu watatu wenye jukumu la ku survey na kuweka misingi ya Washington DC. Kiongozi wa team aliyekuwa architect kitaaluma alikasirika na kuacha kazi akibeba ramani zote. Hayo hatakumvunja moyo Benjamin Banneker aliendelea na kazi akiwa kiongozi na kazi ilikamilika.
Kwa kutumia ujuzi wake wa hesabu Banneker aliweza ku kukumbuka ramani na kuchora ramani mpya. Pia alikua na ujauzito wa kinga vyumba welding. Benjamin alikuwa na skills nyingi, mwandishi, mwana sayansi, mwana mahesabu, mkulima, mpigania haki za watumwa.
Nimesikitika kuona kuwa bila kusoma Makala hii kamwe nisingefahamu maana ya the Big Ben, wazungu walishindwa kabisa kumpa Benjamin Banneker full recognition kama inventor of the Big Ben