Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

Si mchezo kwa mipasho hii[emoji3][emoji3][emoji3]sijui ana nini huko chini huyu bibi anaolewa daily
 
Mzee hapa umepuyanga, si dida wala mamayake aliyewahi kuishi flats za nhc shekilango, dida enzi za childhood ameishi nyumba za nhc lakini sio zile flats ni zile za chini ambazo zipo nyuma ya ubungo plaza, na zile nyumba waliuziwa na nhc kitambo toka mama yake dida ni mwajiriwa wa nbc kabla hajapigwa ridandasi
 
Vipi tena hapa, naona marehemu anachambwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…