Diddy alimpanga Biggie ili auawe. Suge alimpanga Tupac auawe

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kwa documenta zilizofichuka wiki hii imegundulika kuwa kumbe Biggie alikuwa ana plan aachane na Bad Boy Records.

Pia kwa taarifa za watu wa karibu ni kuwa Pac nae alikuwa anataka atoe album ya mwisho ya the don killuminati ili aachane na Deathrow records.

Sasa conspiracy theorists wameawausisha zaidi Suge Knight na Diddy kutokana na hurka zao za utapeli utapeli, kujihusisha na makundi ya uhrifu na historia zao za violence na guilty by affiliation.

ca5cb2ee52527a3ac6dfda8cc4147eed.jpg

199c822b6a8ca6c4d89b50b47486c64a.jpg
 
READY TO DIE IS MY FAVORITE ALBUM FROM KING B.I.G NOTORIOUS 😃
 
Tupe na wewe nini kilitokea mpaka Pac akapigwa Shaba kwenye nyeti ndani ya lift alipoitwa na Big studio pale ghorofani, nani aliewatuma wale manyemera yamtaiti Pac mpaka Big anasema "I told him this isn't a good place, I told him..."
 
Hujui hata umeandika nini, 2Pac aliuwawa kwa risasi wakati anatoka kwenye pambano la Mike Tyson MGM Grand Las Vegas Nevada, gari aina ya BMW lilikuwa linaendeshwa na Suge Knight ndio likamiminiwa risasi Suge Knight alisalimika.

Kabla ya kutoka ukumbini cctv camera zinaonesha Tupac alikuwa akimshambulia kwa mateke unknown person.
 
Km ulikuepo vile
 
Back
Top Bottom