Ni habari zinazotrend kwa sasa kwenye media kubwa kubwa England. Mkakati wa mmiliki wa club ya Chelsea ni kumchukua Guus Hiddink amalizie msimu, huku akiangalia uwezekano wa kumchukua Diego Simeone kuwa kocha wa muda mrefu wa Chelsea!
Vyovyote iwavyo, lakini bosi Roman wapo kwenye 'talks' kukubaliana maslahi na Didier Drogba kufanya kazi na kocha yeyote yule atakayetua hapo Darajani!
Goodluck kwa huyu Ivorian, the legend!
------------------------------
Roman Abramovich Reportedly Considering Didier Drogba for Chelsea Coaching Team | Bleacher Report