NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Hii ni mara ya pili nikishuhudia mpambano mkali kati ya Simeone na Klopp na mara zote Klopp kapoteza pambano.
Kwa mara ya kwanza mtanange wa Audi Cup fainali uliopigwa Alliance Arena jijini Munich nilimuona Klopp hana ujanja dhidi ya safu ya ulinzi ya Atletico Madrid mwisho wa mchezo Atletico lishinda kwa mikwaju ya penati! Jana nimecheki tena gemu kali kati ya miamba hii miwili na sikuona cha maana kutoka kwa Liverpool!!!hawakupiga shuti hata moja lililolenga goli!!!atl.
Walikuwa smati sana jana kina Salah, Firminho na Mane wote hawakufua dafu mbele ya safu kali ya ulinzi ya Atletico! Nadhani gemu ya marudiano pale Anfield hali itakuwa ngumu sana kama Atletico wakiwa smart kujilinda kama jana!!!
Viungo wa liverpool walikosa ubunifu wa kupenyenza mipira kuwafikia kina mane na wenzake!!!Klopp ana kazi kubwa sana kuifunga safu ya ulinzi ya Atletico Madrid na kuwazuia wasifunge pale Anfield.
Ngoja tuone. Je, bingwa mtetezi kutolewa kwenye hatua ya 16 bora?
KLOPP WATCH OUT!!!!