Mwisho wa siku kutoka ni kulekule, sasa muulize ATM mara ya mwisho ni lini alichukua UCL atakupa majibuAaah goli la deflection dakika ya mwisho huwezi linganisha na clear defeats over 2 legs.
Mkuu 4 huwa sio sawa na 2 hata siku moja
Hahahaaa! Kweli nje ndani kumbuka wanda zilichezwa dk90 tu ila hujiulizi kwanini huku anfield zilichezwa 120Haibadili ukweli kuwa Klopp is shit kwa Simeone!! Kapigwa nje ndani and that won't ever change. Embarassment ya anfield haiwezi kufutwa kwa goli la deflection.
4 sio sawa na 2 sasa kwanini huyu mwenye mbili yeye maisha yake yote huko ucl ni msindikizaji?Aaah goli la deflection dakika ya mwisho huwezi linganisha na clear defeats over 2 legs.
Mkuu 4 huwa sio sawa na 2 hata siku moja
Sababu kabla ya Simeone klabu ilikua kibonde tu level ya Wolves kwahiyo hta kufika hizo final wamezidi malengo.4 sio sawa na 2 sasa kwanini huyu mwenye mbili yeye maisha yake yote huko ucl ni msindikizaji?
I told Atletico madrid fans that you can't win UEFA CHAMPIONS LEAGUE with Defending.......Mpira wa ujanja ujanja una mwisho.Sababu kabla ya Simeone klabu ilikua kibonde tu level ya Wolves kwahiyo hta kufika hizo final wamezidi malengo.
Kwa ufupi tu makombe ya UEFA both League na supercup wanayo 4 tokea simeone aje na fainali 2 za UCL kwa timu iliyokuwa ya 16 kwenye league!!!
Pia usichofahamu toka simeone aje kwenye ranking ya UEFA Atletico ni namba 2 kwa mwaka wa 6 mfululizo sasa, vipi Liverpool? Mlioshiriki Europa League mfululizo hadi UCL mkaisahau
Kumbuka mna ligi moja tu ndani ya miaka 30 yaani hata Atletico ina ligi nyingi ndani ya huo muda licha ya kwamba ilishuka daraja hapo kati.
Sasa hao Liverpool wenye kelele hata UCL mmeshiriki mara tatu tu muongo uliopita, kubahatisha hako kakombe kamoja mkajiona timu kubwa. Ila simeone kawaonyesha nyie ni vibonde tu hamtawahi kuwa elite team ya Ulaya.
Ni hivi, SIMEONE ni baba kwa Klopp hilo halitowahi badilika. Bao 4 zinawaumiza mpaka kesho
Hivi wewe una akili kweli? Unataka kulonganisha mafanikio ya ATM na LIVER HUKO ULAYA? JK ana muda gani hapo liver na DS ana muda gani atletico? Unachokosea wewe ni kulinganisha mtu na timu, kama unataka kulinganisha timu basi linganisha timu na kama mtu basi linganisha mtu na mtu yaani liver vs atletico na jk vs ds, jk ana miaka minne liver kabeba makombe yaliyowashinda wengine ikiwemo ds, mwambie huyo ds kama ana uwezo kuliko jk achukue ucl basiSababu kabla ya Simeone klabu ilikua kibonde tu level ya Wolves kwahiyo hta kufika hizo final wamezidi malengo.
Kwa ufupi tu makombe ya UEFA both League na supercup wanayo 4 tokea simeone aje na fainali 2 za UCL kwa timu iliyokuwa ya 16 kwenye league!!!
Pia usichofahamu toka simeone aje kwenye ranking ya UEFA Atletico ni namba 2 kwa mwaka wa 6 mfululizo sasa, vipi Liverpool? Mlioshiriki Europa League mfululizo hadi UCL mkaisahau
Kumbuka mna ligi moja tu ndani ya miaka 30 yaani hata Atletico ina ligi nyingi ndani ya huo muda licha ya kwamba ilishuka daraja hapo kati.
Sasa hao Liverpool wenye kelele hata UCL mmeshiriki mara tatu tu muongo uliopita, kubahatisha hako kakombe kamoja mkajiona timu kubwa. Ila simeone kawaonyesha nyie ni vibonde tu hamtawahi kuwa elite team ya Ulaya.
Ni hivi, SIMEONE ni baba kwa Klopp hilo halitowahi badilika. Bao 4 zinawaumiza mpaka kesho
Kabla ya DS umesema atletico ilikuwa kibonde je vipi liver kabla ya JK? JK kaja liver kachukua kombe ambalo liver wamelitafuta almost kwa miaka 30 muulize DS kaja lini atletico halafu baada ya kufika kachukua ucl ambayo mnaitafuta mwaka wa 200 sasaSababu kabla ya Simeone klabu ilikua kibonde tu level ya Wolves kwahiyo hta kufika hizo final wamezidi malengo.
Kwa ufupi tu makombe ya UEFA both League na supercup wanayo 4 tokea simeone aje na fainali 2 za UCL kwa timu iliyokuwa ya 16 kwenye league!!!
Pia usichofahamu toka simeone aje kwenye ranking ya UEFA Atletico ni namba 2 kwa mwaka wa 6 mfululizo sasa, vipi Liverpool? Mlioshiriki Europa League mfululizo hadi UCL mkaisahau
Kumbuka mna ligi moja tu ndani ya miaka 30 yaani hata Atletico ina ligi nyingi ndani ya huo muda licha ya kwamba ilishuka daraja hapo kati.
Sasa hao Liverpool wenye kelele hata UCL mmeshiriki mara tatu tu muongo uliopita, kubahatisha hako kakombe kamoja mkajiona timu kubwa. Ila simeone kawaonyesha nyie ni vibonde tu hamtawahi kuwa elite team ya Ulaya.
Ni hivi, SIMEONE ni baba kwa Klopp hilo halitowahi badilika. Bao 4 zinawaumiza mpaka kesho
Tokea Klopp atue Liverpool bado hafikii namba ya UEFA tournaments alizoshinda Simeone kumbuka Klopp ametua liver ikiwa inacheza Europa league kila msimu so msifanye eti level yenu ni UCL. Mmeshiriki Europa mara 8 muongo uliopita sasa kwanni ukimbilie kutumia UCL kma kigezo pekee??Hivi wewe una akili kweli? Unataka kulonganisha mafanikio ya ATM na LIVER HUKO ULAYA? JK ana muda gani hapo liver na DS ana muda gani atletico? Unachokosea wewe ni kulinganisha mtu na timu, kama unataka kulinganisha timu basi linganisha timu na kama mtu basi linganisha mtu na mtu yaani liver vs atletico na jk vs ds, jk ana miaka minne liver kabeba makombe yaliyowashinda wengine ikiwemo ds, mwambie huyo ds kama ana uwezo kuliko jk achukue ucl basi
Bajeti ya Liver utalinganisha na Atleti? Mna Kipa wa €80 M, beki wa €75 M, Fabinho na Keita walicost €120 M. Hapo mkichukua kombe kuna muujiza.Kabla ya DS umesema atletico ilikuwa kibonde je vipi liver kabla ya JK? JK kaja liver kachukua kombe ambalo liver wamelitafuta almost kwa miaka 30 muulize DS kaja lini atletico halafu baada ya kufika kachukua ucl ambayo mnaitafuta mwaka wa 200 sasa
Defending mngepigwa 4?I told Atletico madrid fans that you can't win UEFA CHAMPIONS LEAGUE with Defending.......Mpira wa ujanja ujanja una mwisho.
Kwa taarifa yako liver haina fuko la usajili bali inaspend baada ya kuuza wachezaji mzee, hizo pesa ulizoandika hapo zote ni mauzo ya Philipe Coutinho, Luis Suarez na wakina Raheem tu, na nyie uzeni mpate helaBajeti ya Liver utalinganisha na Atleti? Mna Kipa wa €80 M, beki wa €75 M, Fabinho na Keita walicost €120 M. Hapo mkichukua kombe kuna muujiza.
Sasa simeone A.k.A El Cholo kakuta timu ina madeni ya zaidi €300M, haina pesa ya usajili kabisa ila kaipa Europa msimu wa kwanza kabisa, uliofuata kabeba ligi then unataka compare.
Simeone angekua na fuko la usajili kma Klopp nadhani mngepigwa Nane sio nne.
Ni hivi Klopp ni mtoto kwa El Cholo
We jamaa uongo utakufikisha wapi?Bajeti ya Liver utalinganisha na Atleti? Mna Kipa wa €80 M, beki wa €75 M, Fabinho na Keita walicost €120 M. Hapo mkichukua kombe kuna muujiza.
Sasa simeone A.k.A El Cholo kakuta timu ina madeni ya zaidi €300M, haina pesa ya usajili kabisa ila kaipa Europa msimu wa kwanza kabisa, uliofuata kabeba ligi then unataka compare.
Simeone angekua na fuko la usajili kma Klopp nadhani mngepigwa Nane sio nne.
Ni hivi Klopp ni mtoto kwa El Cholo
Acha kupoteza muda na huyu jamaa unajisumbua tu kila kitu kiko wazi muache ajiaminishe hivyo hivyoKwa taarifa yako liver haina fuko la usajili bali inaspend baada ya kuuza wachezaji mzee, hizo pesa ulizoandika hapo zote ni mauzo ya Philipe Coutinho, Luis Suarez na wakina Raheem tu, na nyie uzeni mpate hela
Mie nimeongelea bajeti overall toka Klopp amekuja na Simeona amekuja nani kapewa fungu kubwa?We jamaa uongo utakufikisha wapi?
Unajua msimu huu athletico katumia pesa nyingi kusajili au unajisahaulisha tukupe takwimu hapa beki tu wa kati hector herrero mmesajili kwa paun million 50 ,lemar 70 ,joao Felix ? Na yule beki wa kulia alietoka Tottenham? Na wengine kama nane acha ushabiki maandazi.
Unajua pale EPL liver ni wa nane kwa ktumia pesa ndogo ? Ama tukuache?
Swala la ds kuikuta team na madeni hilo kosa la management.
Mbona msimu huu kapewa fungu lefu na kashindwa kuchukua hata kikombe cha uji?
Ko hela ya Coutinho inayolipwa kwa mafungu hadi Leo ndio iligharamika Keita,Fabinho,Allison,VVD? waliokuja kwa combined €270 M??Kwa taarifa yako liver haina fuko la usajili bali inaspend baada ya kuuza wachezaji mzee, hizo pesa ulizoandika hapo zote ni mauzo ya Philipe Coutinho, Luis Suarez na wakina Raheem tu, na nyie uzeni mpate hela
Acha kupoteza muda na huyu jamaa unajisumbua tu kila kitu kiko wazi muache ajiaminishe hivyo hivyo
Wewe ndio uwe na adabu kwa JK, kwa akili yako ya kusema DS ni bora kuliko JK, hela ya Philipe umesema ya mafungu jiulize hadi tunanunua hao wachezaji tulikuwa tushalipwa kiasi gani? Siku zote liver tunatumia pesa kidogo kusajili kuliko pesa tunayopata kwenye kuuza, halafu unasema huko atletico hakuna pesa sasa hiyo inamuhusu nini mshindani wako? Mwambie DS achukue UCL kombe la mabingwa sio hivyo vya uchochoroniKo hela ya Coutinho inayolipwa kwa mafungu hadi Leo ndio iligharamika Keita,Fabinho,Allison,VVD? waliokuja kwa combined €270 M??
Hoja hapa ni kwamba El Cholo hakuwa na rasilimali kama alizozikuta Klopp kwahiyo bila kununua wachezaji asingepata kikombe chochote. Huwezi tumia Mabilion yote hayo afu usishinde kombe. Ila simeone ameikuta Atletico ina hali mbaya kipesa haina fuko ila katumia maghalasa hao hao kubeba ligi kipindi Messi na Ronaldo wakiwa katika katika ubora wao. Msimu uliofuata point 90!! Bado Europa 2 na super cup 2, Kings cup na Super copa espana!! Embu kuweni na adabu kidogo.
Nimenyoosha mikono kaa na uongo wakoMie nimeongelea bajeti overall toka Klopp amekuja na Simeona amekuja nani kapewa fungu kubwa?
Simeone Aliuza wachezaji 7 wa kikosi cha kwanza walileta mapato ya €320 M alafu yeye alisajili kureplace tu akatumia €250 kusajili. Hivyo aliingiza faida ya €70 kwenye mauzo ya wachezaji pekee.
Hector herrera alikuja bure, Felix amesajiliwa kwa mkataba wa miaka 7 na pesa haikulipwa cash ila italipwa kwa miaka yote 7 yaani €20M kwa msimu. Lemar alinunuliwa kwa shinikizo la Griezmann ili asihamie Man Utd otherwise kocha hakumtaka wala Board.
Ni hivi toka Simeone aje, Atletico ndio timu pekee inayoongoza kwa faida na mapato kwenye mauzo ya wachezaji. Kiufupi imevuka mapato ya €1 Billion kwa mauzo tu katika huo muda ila Liverpool mmetumia mabilion mangapi toka Klopp aje na mmeuza kwa faida gani?
Simeone ni kitu kingine Oblak na Thomas pekee watauzwa kwa €180 huu mwezi muda huo Klopp anaenda kununua mizigo ya €70M kina Naby Keita hahahahha afu ndio umlinganishe na El cholo mzee wa Cojones?? Acheni utani
Tatizo wewe ni plastic fan unaongozwa na mihemko ila huna data kabisa. Uzuri Simeone aliwatia adabu kelele zote kwisha mpaka leo.Nimenyoosha mikono kaa na uongo wako
Mkuu mmetumia €250 kusajili wachezaji 5, je coutinho alileta mezani hiko kiasi? Ni kwamba mliwekeza pesa nyingi sana kwahiyo obviously mngeshinda tu makombe.Wewe ndio uwe na adabu kwa JK, kwa akili yako ya kusema DS ni bora kuliko JK, hela ya Philipe umesema ya mafungu jiulize hadi tunanunua hao wachezaji tulikuwa tushalipwa kiasi gani? Siku zote liver tunatumia pesa kidogo kusajili kuliko pesa tunayopata kwenye kuuza, halafu unasema huko atletico hakuna pesa sasa hiyo inamuhusu nini mshindani wako? Mwambie DS achukue UCL kombe la mabingwa sio hivyo vya uchochoroni