interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Kabisa mkuuPhilosophy zao ni ladha ya mpira, sema mda wote roho mkononi!
Noted.Atletico Madrid tayari ameshaaga mashindano hana ujanja pale Anfield ingawa soka la leo halina historia lkn kumbukeni kilichompata ndugu yao Barcelona wakiwa full squard, Diego Simeone ajiandae kisaikolojia tu pale atapigwa nyingi tena sio chini ya goli nne na kuendelea.
Barca na Messi walifunga 3 pale camp now ila walivyokuja anfield kila mtu anajua nini kiliwakuta.
Tupo half time wameshinda kwao goli mpoja bila nasubili thread yako nyingine baada ya wiki 2 ikiisuppport hii hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mechi ya marudiano itachezwa Namfua stadium hata Mimi nakuunga mkono Mechi itaisha 0 - 0.
Acha kukariri,mpira haupo hivyo,kumfunga Barca sio formula kua na ATM utamfunga,ila kama ni njia yako ya kujifariji tu basi endelea tu kujifariji,tukutane March 11 pale Anfield panapo majaaliwa.Barca na Messi walifunga 3 pale camp now ila walivyokuja anfield kila mtu anajua nini kiliwakuta.
Tupo half time wameshinda kwao goli mpoja bila nasubili thread yako nyingine baada ya wiki 2 ikiisuppport hii hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Barca na Messi walifunga 3 pale camp now ila walivyokuja anfield kila mtu anajua nini kiliwakuta.
Tupo half time wameshinda kwao goli mpoja bila nasubili thread yako nyingine baada ya wiki 2 ikiisuppport hii hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Refa aliwabeba , Liverpool walipewa kadi za njano zisizostahiliKuna wapumbavu bado hawaamini philosophy ya Diego au Mourinho, bila mitanange kama hiyo soka litapoteza mvuto sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwa hiyo staili ya kushambulia watafungwaAthletico wakitaka kumaliza mechi waanze kushambulia sana ila wakianza mambo yao wakadhani wapo home mapema tunawakalisha.
Kwani kwa barca ilikuwaje? Kuzuia kufungwa na kupata goli nne, kumbuka huyo atletico kwa barca ni mchumba tuUsikariri mambo, hata ATM wanajua kua Barcelona walikiashwa so hawawezi kwenda kizembe hii ngoma bado ngumu pande zote hasa Liverpool kuzuia wasifungwe wkt huo wapate goli mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitoa hizo points unazosema amepewa na VAR, bado anaongoza league tena kwa mbali sana. Timu yako ishikane na nyingne ndo mfikie hizo points. Chuki itakuua.LiVARpool labda alitegemea na huko Spain atabebwe na VAR kama alivyozowea kubebwa na VAR kwenye EPL.
Kwani kwa barca ilikuwaje? Kuzuia kufungwa na kupata goli nne, kumbuka huyo atletico kwa barca ni mchumba tu
Kwani kwa barca ilikuwaje? Kuzuia kufungwa na kupata goli nne, kumbuka huyo atletico kwa barca ni mchumba tu
Huyo atletico kinachomshinda kumfunga barca huko spain ni nini?Barcelona hawajawahi kucheza mchezo wa kuzuia wala hawana mbinu ila ATM wakikutangulia kazi unayo sijasema haiwezekani lkn kazi ngumu sana Liverpool wanayo wana asilimia chache sana za kupindua meza
Sent using Jamii Forums mobile app
Napoli vs who?Naona hamjibu swali linaloulizwa huko juu NAPOLI ilikuwaje?