Ina engine ganiHabarini swali langu kwenu wakuu kuna gari (basi) inatatizo mmoja, wakati upo bararbarani inafanya resii kwa mida tena hapo unakuwa huwezi kuikantrol kwa jambo lolote.
mpaka iyachie wenyewe, na ukipima oil kwa stiki unakuta oil imezidi kupita kiasi, na sio kawaida, nilimpata mtu akaniambia kuwa hapo mzee engine oil ishachanganyika na diesel.
Je, wakuu nini tatizo hasa mpaka oil ikachanganyika na mafuta ya desel na vipi nilitatue hili tatizo' nashukuru.
Kuna mojawapo limetokea 1. Fuel fill/priming pump imechoka hii haizidi laki 2. Plunger zimechoka hapo hela huwa nyingi kiasi4d35 rosa