Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Nishati ya mafuta ya vyombo vya moto imeadimika na kuuzwa hadi elfu nane kwa lita moja huko Ifakara, Wilaya ya Kilombero.
Huko Rudewa pia nishati hiyo inauzwa hadi elfu tano kwa lita na hayapatikani!
Pamoja na gharama yake kuwa kubwa, ajabu, bado nishati hiyo haipatikani na kumeshuhudiwa msongamano mkubwa wa wahitaji wa nishati hiyo.
Chanzo: ITV