Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Hangaya Yupo bussy kuuza nchiNishati ya mafuta ya vyombo vya moto imeadimika na kuuzwa hadi elfu nane kwa lita moja Wilayani Ifakara.
Huko Rudewa pia Nishati hiyo inauzwa hadi elfu tano kwa lita na hayapatikani!.
Chanzo: ITV
Aulizwe matope.Si msemaji wa EWURA alisema kulitokea changamoto ya ushushaji pia na changamoto ya usafirishaji kwenye mikoa ya pembezoni mfano kigoma Na kagera Maana Lory kutoka Dar paka uko inachua almost siku nne, kwa Apo ifakara Ni karibu Froma Dar asa sijui shida nini
Chamsingi kunasehemu inaitwa Ifakara sio?Hakuna wilaya inayoitwa ifakara duniani
Kwa sasa nchi imeharibika sana.kila kona ni shida lukuki.mafuta kuadimika maana yake kila kitu kitapanda juu na kuporomoka kwa uchumi.huyu dereva tuliyenaye duh!
Hii inchi ngumu sana aiseeWanatafuta justification ya kumuuzia mwarabu bandari, ionekane TPA hawana uwezo wa kupakua mafuta kwa ufanisi.....janja janja sana hii.