Diet ya kukata 6kg naomben msaada...

Diet ya kukata 6kg naomben msaada...

tete'a'tete

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
472
Reaction score
64
Hope all is well with you brodaas & sisteeeeeeeezz.

Jamani nisaidien Jf's doctors mtu anayejua diet ya kufanya ili niweze kupunguza almost 6kg anisaidie..au ushauri nifanyeje hizi excess kg niziondoe maana ninakoelekea ni kubaya..nanyonyesha mtoto ana 8months kweli kuwa mamaa kuna mambo mengi...msaada..
 
"Ukisikia hubby ana small house zitapungua zaidi ya hizo" Joking!Kunyonyesha mbona kunasaidia kupungua,any way kula vyakula vya protein kwa wingi,punguza starch usile wali,ugali,chips kwa sana
 
hahaha fe lady you made my day! sasa hiyo small house si nitapata presha ok nanyonyesha but ni jioni tuu ladba ndio maana hainipunguzi but nitajitahidi kula protein thanks indeed for your advise...
 
Hope all is well with you brodaas & sisteeeeeeeezz.

Jamani nisaidien Jf's doctors mtu anayejua diet ya kufanya ili niweze kupunguza almost 6kg anisaidie..au ushauri nifanyeje hizi excess kg niziondoe maana ninakoelekea ni kubaya..nanyonyesha mtoto ana 8months kweli kuwa mamaa kuna mambo mengi...msaada..

unataka upunguze 6kg duu mbona nyingi sana .Uzito wa mtu huwa unaendana na umri pamoja na urefu wake.So nenda kwanza kaonane na wataalam wakucheki/pime kisha utajua umezid kilo ngapi na unaweza kuzipunguza mpaka sifikie wap??

Msosi ndiyo njia mojawapo ya kupunguza uzito ulaji mbovu huchangia sana ongezeko la uzito
 
Kula vyakula vya afya zaidi(punguza mafuta ongeza mboga mboga na matunda) alafu ufanye na mazoezi kidogo hata kama ni kutembea tu angalau kila jioni kwa lisaa limoja.
 
Ongeza mboga, matunda na kunywa maji ya kutosha. Kata wali na ugali kama utaweza dinner kula chakula chepesi na before 8pm

Mazoezi pia muhimu
 
Back
Top Bottom