Diet ya mdalasini, asali na limao inapunguza kilo ngapi kwa wiki?

tumia kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu changanya pamoja kijiko kimoja cha Asali, Limao1, na Glasi 1ya Maji ya Moto/Uvuguvugu Tumia kwa muda wa miezi sita utaona mabadiliko yake kwanza kabla ya kutumia hizo dawa nenda kapime kwanza una kilo ngapi?mkuu Lyne
 
nashukuru sana kwa ushauri ngoja nipime uzito then nianze
 
Last edited by a moderator:
nashukuru sana kwa ushauri ngoja nipime uzito then nianze

maandalizi mazuri hukupatia matokeo mazuri pia?? Kwa swala la asali ni pm nina asali original ajabu kabla hujalipa bei. Tutafanya test zote alizo bainisha mkuu mzizi mkavu kubaini asali ambayo haija chakachuliwa
 
diet yoyote lazima iambatane na nidhamu ya nini na kiasi gani unakula sambamba na mazoezi ya mwili, kwa kiasi.otherwise, unaweza usione matokeo yoyote.
 
rafiki zangu nisaidieni

mbona kila mdada anataka kupunguza unene wakati wengne ndo ugonjwa wetu wanawake wembamba siwataki hata kuwasikia,halafu nilikuona jukwaa la mahusiano unatafuta mume hv ulipata au ndo wanakukimbia sababu ya unene kama vp ntaku pm tuongee fresh
 
Asali ni bei gani,
je uko mji upi?

maandalizi mazuri hukupatia matokeo mazuri pia?? Kwa swala la asali ni pm nina asali original ajabu kabla hujalipa bei. Tutafanya test zote alizo bainisha mkuu mzizi mkavu kubaini asali ambayo haija chakachuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…