misorgenes
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 206
- 50
wazima jamani? kutokana na kazi yangu natumia muda mwingi nkiwa kwenye computer, nimeongezeka uzito kwa kiasi kikubwa. naombeni diet itakayonisaidia kupunguza uzito kwa muda mfupi. natanguliza shukrani!
Nimejaribu ku'upload diet plan moja ya siku 13 nimeshindwa!
please kama hutajali niPM email address yako nitakutumia baadae.
Nimejaribu ku'upload diet plan moja ya siku 13 nimeshindwa!
please kama hutajali niPM email address yako nitakutumia baadae.
Bob Lee Swagger, mbona hunitumii jamani?