Spyware
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 254
- 66
Hi everyone. I would like to know that difference anyone can help. With thanks.
============= Sehemu ya Majibu =======
============= Sehemu ya Majibu =======
Nimeonelea kuandika kidogo kuhusu judah,then christ alafu tutapata tofauti zake. Hii kuepuka maswali yasiyo kuwa ya lazima. Maana haimake sense kuanza na diferance wakati hata topic huijui.
Ujudaism sio dini peke yake bali pia,primarily living in spiritual order
f the jewish people, living in the jews of past and with the jews of the presnt. Its not a doctrine ,an idea,afaith, but the covenant between the God and the people.
Abraham joshua heschel, anasema kwamba ujudaism ni covenant btn the God and the people.
Kwaio kwa haraka unaona kwamba ujudaism upo pale ili kushikilia au kufuata misingi ya makubaliano kati yao na Mungu waliyohaidiwa miaka iyoo na Mungu wao.
Kwaio ujudaism unaweza sema ni kama uconservative ambao umeshikiliwa toka enzi za mababu wa ki israel.
Anasema"covenant is an agreement establihed long ago btn God and ancient israels ,first through Abraham
Kutokana na covenant amabayo jews waliingia na Mungu wao walilazimika kutekeleza majukumu fulan flan mazito ilikukamilisha mkataba wao na Mungu.
Na covenant hiyo iliweza kuwatambulisha wa jews kama 'God's Chosen peole' as the stutas that carries serious responsibilities. From that time the Jewish challenged to live as benefits 'holy nation'.
So muda ulivoenda juda walihimiza zaid katika identity yao. Napia unaweza kuta sio kila Judaism anaamini katika dini ya ujadaism,lakin yy yupo kwenye ujuda as a way kupata identity yao. Hapa sasa unakuja kupata jews mbili ambzo ni,
1.Religious (observant) Jews.
2. Cultural (nonobservant) Jews.
Origin ya jews.
Jews was the descendats of the ancient israels who also known as Hebrews, and around the time of exile and following they become know as jews ,and their religion become known as Judaism becoz their country was Judah.
History of Judah has the great significance to them due to basic religious premise. God believed to be providential ,or directly in history of Jews. God knows what is hapening n provides for the chosen people,the history of jews is records of God will as manifested in the events of the world.
===================
UPDATES
======================================
Kwakuwa nimeona baadhi ya post zikitoa maelezo kidogo kuhusu central teaching za judaism,ngoja niende sehemu ingine.
Kuzaliwa kwa messiah kilikuwa na kitu ambacho jews waliahidiwa na Mungu wao toka zamani.
Na aluzaliwa akiwa m jews na alifanya mambo yote yalikuwa yakifanyika na ma jews wnzake.
Lakin katika miak ya 63AD jews homeland ilivamiwa na warumi,na wakaweka gavana wao amabaye alikuwa akiratibu shughuli zote na kuziripoti Roma.
Lakin ilipofika miaka ya 26 to 36AD jimbo hili alipewa Pontio pilato alitawale kwa maslahi ya Roma,na ndo kipindi ambacho wayahudi waliweza pata joto ya jiwe. Na kupitia shuruti hizi wayahudi walieza pata makundi kama ma nne ivi.
1. Saducees, hawa walikuwa na kazi ya ku kontrol ma temple n responded to Roma rule conservatively.
2. Zealots, hawa waliamini kwamba kuepukana na shida au utumwa wanalazimika kutumia nguvu kujikomboa(wazee wa mitutu)
3. Essenes, hawa walionelea kuepukana na shuruti waliyokuwa wanapata utumwan walistahili kukimbia.
4. Phraises, they responded with moderation, obeying the tradition commandments of judaism and developing the oral torat.
Lakini katika hayo yote yesu hakuweza ku fit au kuwa follower wake. Maan kwa undani hasa ukiangalia yalikuwa na u conservative kama walivyookuwa waanamini wayahudi katika mafunzo yao. Na kimsingi yesu hakuwa conservative kama ilivo kwa ma jews kwa nature yao.
Christianity n Judaism. Sio rahis kuuelewa ukiristo bila kujua ujudaism maana folowa wa wakristo ndimo alipozaliwa na kukuli.
BUT
UKIRISTO SIO UJUDAISM, NA UJUDAISM SIO UKIRISTO.
Kwann? endelea kusoma
Lakini ujue kwamba kuzaliwa kwa jesus ilikuwa n ahadi ya Mungu wao kwamba nitaleta mtu wakuwatetea katika shida zenu na kuwakomboa.
Na kweli muda ukawadia na Messiah alizaliwa na wote walifurahi na kuona kwamba Mungu ametekeleza makubaliano yao, japo unaeza kuta kuna walio dought maana term Messiah kwao halikuwa na kawaida so walitaraji atakayekuwa atakuwa si wakawaida.
Lakin bwana yesu alikuwa na kuendelea kuonesha mambo ambayo walianza kuona ni kweli huyu ni messiah kabisa. Na akaweza kupata folower weeengi kabisa katika huduma zake za kitumishi.
Lakini wayahudi waliweza pata shock baada ya kuona messiah anauwawa kiurahisi tena na binadam,lakin wakiwa bado wanashangaa hayo huyo waliezan ni mtu rahis alifufuka na kupaa mbinguni. Na apo ndipo folower wa Yesu wakaanza na kuendelea mpaka kesho.
Kwa mazingira hayo unaweza ona kwamba uyahidi ni zaid ya dini, ni kama utamaduni wa maisha ya wayahudi toka enzi hizoooo.
Na pia kutokana na maelezo niliyotoa apo kulipelekea baadhi ya wayahudi. Kubaki na judaism kama dini na utamaduni na wengine kuchkulia kama utamaduni tu, na kuhusu dini wakaendelea na wokovo ulioletwa kwao na Jesus.
Utofauti wa Judaism na Ukiristo.
Kimsingi utofauti wa uyahudi kama utaangalia kwa mrengo wa dini ni u conservative(judaism) na uwanamapokeo(ukiristo)
Na kama utadili na utamaduni basi utaona ujudaism ni kama center point ya utamaduni wa m jews yoyoye yule, lakini kwa ukiristo ni kama watu waliamua kuamini katika yesu na kuona ni mwokozi na mtetezi wa maisha yao. Na hii ndo iliyowpa hata wakristo wa tandale au popote pale dunian fursa ya kupata wokovu.
cc christine ibrahim Spyware Eiyer