Difference btn a wife and a girlfriend

Mkare

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
504
Reaction score
79
A Wife is like a TV
A Girlfriend is like a MOBILE
At home u watch TV, but when u go out u take your MOBILE
No money, u sell the TV, got money u change your MOBILE
Sometimes u enjoy TV, but most of the time you play with your MOBILE
TV is free for life, but for the MOBILE, if you don't pay, the services will be terminated
TV is big, bulky and most of the time old!
But the MOBILE is cute, slim, curvy and very portable
Operational costs for TV is often acceptable, but for the MOBILE it is often high and demanding
TV you can control by remote, MOBILE you CANT
Most importantly, MOBILE is a two-way communication (u talk and listen),but with the TV you MUST watch and listen (whether you want to or not)
Last but not least! TVs don't have viruses, but Mobiles often do.
 
Lol! Umefananisha vizuri sana kati ya demu na mke.crap
 
Dah hiyo namba 6 ndo nimeipenda zaidi. Cool stuff, endeleza ubunifu lakini ukikopi sehemu useme.
 
Sitii neno hapa.

Mara ya ngapi tena hii kuiona humu???
 
Sitii neno hapa.

Mara ya ngapi tena hii kuiona humu???

Mi sikuiona mwaya ndo maana nilivyoikuta sehemu nikasema nishee, I think its time kuwe na jinsi ya kuweza kujua like kitu unachotaka kukishare na watu tayari kimeshawekwa au laa. Tusaidiane kwa hilo.
 
Mi sikuiona mwaya ndo maana nilivyoikuta sehemu nikasema nishee, I think its time kuwe na jinsi ya kuweza kujua like kitu unachotaka kukishare na watu tayari kimeshawekwa au laa. Tusaidiane kwa hilo.

Imewahi kuwa hapa si chini ya mara tatu usijali kuna wengine hawajawahi kuiona
 
Dah hiyo namba 6 ndo nimeipenda zaidi. Cool stuff, endeleza ubunifu lakini ukikopi sehemu useme.

Yeah next time nitasema mwaya kwamba nimetoa kwenye gazeti au Fwd email. Thanx
 
Nadhani ilishatoka hii, ila tuwaachie walioikosa wajikumbushie
 
nadhani ni arudio ingekua remix ingekua imeongezwa vionjo kidoooogo.....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…