Differences between a Lawyer and an Advocate (Tanzanian perspective)

Jaji ni Mtumishi wa Mahakama ambaye anahusika kusikiliza Mashauri/Case na kuzifanyia maamuzi katika ngazi ya Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani.

Hakimu ni Mtumishi wa Mahakama ambaye anahusika kusikiliza Mashauri/case na kuzifanyia maamuzi katika ngazi ya Mahakama ya Mwanzo, Mahakama ya Wilaya na Mahakama ya Hakimu Mkazi. (Mahakama ya Mkoa)

Mwisho, Hakimu anaweza kuwa JAJI baada ya kupata Uzoefu usio pungua miaka Kumi katika tasnia ya Utoaji Haki.
Tofauti ya Jaji na Hakimu ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo fees ni kiasi gani maana kuna malalamiko ya tozo kuwa nyingi sana toka TLS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…