Differences between Kalenjin, Luo,Kisii and Kikuyu men

Juakali1980

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
798
Reaction score
506
CLOSE





Home Entertainment Differences between Kalenjin, Luo,Kisii and Kikuyu men

Differences between Kalenjin, Luo,Kisii and Kikuyu men
September 12, 2016
551
Share on Facebook
Tweet on Twitter

http://venasnews.co.ke/wp-content/uploads/2016/08/zuma.jpg
Kalenjin, Luo,Kisii and Kikuyu men are dominant groups in politics,business,education and investment,but the four communities have distinct differences that separate them like heaven and hell.

Kisii and Kikuyu men are known to be the most aggressive communities in the country. Where you find a Kisii with a shop, you must be assured a Kikuyu man has a shop around. Though in terms of investment, the two communities have many things in common, they are miles apart when it comes to relationships and marriage.

While Kisii men are known to be strong in bed-I think it’s because of matoke and ugali-their counterparts from central Kenya have totally nothing to showcase in the bedroom. A Kisii man can make a woman moan,cry,yell,weep and dance in just 2 minutes-this man is really blessed .

Kikuyu men, more than 80 % are handsome, but it’s hard to find a handsome Kisii man.

It takes 15 seconds to annoy a Kisii man.These guys are hot tempered and react on anything and everything, but Kikuyu men are mostly polite except when he realizes you want to con him.

Kisii men love food a lot and they also talk a lot. But Kikuyu love alcohol and money.

Kisii men are not selfish, which is opposite for Kikuyu men.

Kalenjin men are conservative. This is one of the biggest tribes in Kenya in terms of numbers but have you wondered why Nairobi has more Kisiis than Kalenjins? These people like living with their grandmothers.

The Kalenjin are polite people when in peace, and of course friendly when meat, land and mursik is in plenty. But this man is dangerous when angry.

Kalenjin men make the best husbands but they are dictators. They always want things to go their way even if they are wrong.

Luo men are good orators, fashion enthusiasts and proud. Even if a Luo has nothing, he will do everything to intimidate his peers.Luos are also friendly people to work with.

If you compare the four tribes,Luos are the worst investors, but they build the economy by being consumers.


venas
 
Leo nimecheka mpaka nimelia machozi...@ it takes 15 seconds to annoy a Kisii...while the Kalenjin men live with their grandmas....
 
Nimekukubali uko sahihi, lakini Luo mbona umewapa nafasi ndogo sana za kuwafafanua?
 
Ukabila hautakwisha Kenya.
Ukabila upi mbona Watanzania huwa mna unafiki kichizi hivi.
Hili ni jambo la kawaida kupata sifa fulani ndani ya makabila fulani fulani na lipo hata Tanzania. Kwa mfano Wahaya ni wenye kupenda majigambo na elimu. Wachagga hupenda kusaka hela n.k.

Kenya pia makabila tofauti yana tabia na desturi zao. Mimi hapa Mkikuyu nasaka hela balaa.
 
Ha ha ha, povu la mkenya.
 
Kikuyu nafikiri ndo kabila pekee strong ambao wanatoka central Ya nchi kwa east africa nchi zingine makabila Ya pembezon ndo Yamejitokeza kuwa na Nguvu sana
 
Thanx at least we have some clue about men of Kenya
 

lkn nyie haiishii HAPO tu. there's a time nilikuja huko, nikafika hadi Nairobi. katika pitapita yangu na mwenyeji wangu. nikagundua kumbe hata hizi bar huwezi ingia tu na kuanza kunywa. lazima uangalie inayomilikiwa na wa kunyumba. ukifika hapo utakuta akina dada na wateja wao wanalonga warere waterere. nikaachwa mdomo wazi. hapo ndo nikajua bongo si ya KAWAIDA.
 

Wapi ukabila hapo, hivi unajua maana ya ukabila, kwa watu kukusanyika wanaozungumza lugha moja ukaambiwa huo ni ukabila, inafaa ufahamu hilo ni jambo la kawaida tangu uumbwaji wa dunia, tafuta darasa la historia na pia jaribu kupata ufadhili ufaulu kuondoka nje ya Tanzania hata kwa siku moja, ni kawaida kwa binadamu kukusanyika kulingana na matabaka, kunao hukusanyika kanisani wanajiita Wakristo, na hata kwa hao Wakristo kunao humo ndani walokole na wakatholiki.
Taswira ndio hiyo hiyo kwa waislamu, na wote wanasema wanamuabudu Mungu mmoja.

Hata hapo Tanzania, kabla mzungu hajaja na kuchora chora mipaka yake na kusema muitwe Watanganyika, awali kulikua na watu wenye asili zao.
Binadamu ndivyo alivyo, ni kawaida yake kukusanyika kulingana na kundi analofanana nalo kwa kila jinsi, kwa mfano hapa Kenya kuna sehemu inaitwa Gikomba, huwa pamejaa Wachagga wa kutokea Tanzania, wewe ukija hata kama Mtanzania na sio Mchagga utashangaa maana utahisi kautofauti fulani.

Sio kosa kwa watu wanaounganishwa na asili fulani kukusanyika pamoja na kujumuika, miji mingi hata Dar utakuta maeneo ya vyakula vya Kichina wanakokusanyika Wachina na kula, pia Wahindi n.k.
 
Unachanganya tafsiri ya kuchanganyika. Wakristo wakikutana kwa ajili ya ibada huo ni mkusanyiko wa kiimani. Lakini ukikutana Wakristo peke yao kwenye shughuli ya msiba (kwa Nchi yenye mchanganyiko wa Imani) hilo ni tatizo.

Vile vile ukikutana na Wakikuyu peke yao wakiwa kwenye kikao cha kimila hilo si tatizo lakini ukikutana na Wakikuyu wakiwa sehemu ya starehe wakiwa peke yao hilo ni tatizo.

Ukikuta Shule ya Ki'kristo ina Wakristo wengi hata 99% si tatizo. Lakini ukikuta Wanafunzi wanajitenga wakati wa 'group discussion' kwa mujibu wa Imani yao hilo ni tatizo kubwa..



Na mkubali mna tatizo kubwa la ukabila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bado hujaeleweka au hauelewi unachoeleza, maana kuwakuta Wakikuyu wamekusanyika eneo moja wanapata burudani itakua tatizo kivipi, wao ni watu wanaozungumza lugha moja, wana asili moja, wana kitu kinawaleta pamoja, ilmradi hawavunji sheria, wala kudhihirisha chuki dhidi ya yeyote sioni tatizo hapo.
Kibaya ni pale mpo pamoja kundi moja la watu wa aina tofauti, halafu ghafla wachache wajitenge na kwa misingi ya lugha na kabila lao, huo ndio ukabila, au kumpa mtu cheo kisa wa kabila lako.
Lakini haiwezekani unikataze nikutane na watu wa kwetu sehemu tuongee lugha yetu kujadili yanayotuhusu, mbona huwa hamuwasemi wahindi wanapokaa pamoja wakizungumza lugha zao.
Tatizo wengi wenu mlishapoteza asili zenu na kumezwa na Uswahili, ndio maana huwa inawauma sana, maana asilimia kubwa kwenu hata salamu kwa kilugha hamjui, mumepoteza kila kitu mnaishi kiutumwa.
 
Hilo la mila kwetu zinafanyika sana. Kuanzia Kusini mpaka Kaskazini, Mashariki mpaka Magharibi, hapo Dar tu kuna Kijiji cha Makumbusho, makabila huwa na mikutano yao ya kukumbushana jadi zao. Kila sherehe ya harusi kuna nyimbo za jadi, tunataniana pia.

Huu utamaduni wa kutaniana baina ya makabila ni jambo kubwa pengine kuliko Nchi yeyote ya Afrika, na tafsiri ya kutaniana maana yake Mtu kabila A anajua mila na desturi zake na za kabila B. Huwezi kuwaita hawa Watu wamepoteza utambulisho wao. Pengine ukiona Watu wanachapa Kiswahili ukadhani wamepoteza uasili wao lakini kama Taifa tunajali pia Utaifa wetu kww sababu kwa picha kubwa kwa idadi ya Watu 40+ lazima ku-sacrifice sehemu ya ubinafsi wetu ili tuishi vyema kwa Ustawi wetu na Watoto wetu.

Umezungumzia habari ya 'kukutana bila kuvunja sheria', najua hapa una uelewa mdogo. Sheria si kila kitu kwenye maisha, kuna kanuni za maisha kama Taifa ambazo hazijaandikwa popote. Kama Watu hawatangamani vizuri sheria haina maana kabisa.

Hapa tunazungumzia Taifa. Taifa ambalo Mkikuyu anajiuliza kama anaweza kwenda kuishi Homabay au Siaya and Luo vice versa. Au Mkalenjini kwenda kuishi Ukikuyuni bila kujishuku.

Na hapa si kwamba hakuna fursa ya maisha, ni kwa sababu anahofu kama ataishi kwa utangamano na wenyeji wake akiwa pekee au na familia yake! Sasa hilo si Taifa kwa maana yake


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…