jockey emmanuel
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 330
- 50
No love without friendship
Kwa penzi ulilosema livyoanza lazima litakufa tu!Penzi la kweli halianzii machoni,machoni inaanza tamaa!
You are a really really Tutor! Nakubaliana kabisa na wewe khs suala la Makuzi yanachangia sana kuharibu mahusiano, nimelishuhudia sana hilo mitaani! Thanks for that mkuu!Mwanzo wa penzi ni tamaa, then unaanza ku-reason faida na hasara za mahusiano unayotaka kuingia. Ukibase kwenye physical things utajijua mwenyewe. Ukizama kwenye vitu visivyoonekana kama vile tabia na background ya mwenzio na ukafanikiwa kupata real real data shukuru Mungu utakuwa umepata mwenza mwema. Makuzi yanachangia sana kuharibu mahusiano.
but there is a friendship without love . . . .