Hahahaaaaa wewe umeamka nazo..!translator-lugha
imterpreter-ufafanuzi
inatosha hyo.........thread closed
Mkuu , je kwa huyu jamaa tutamtumia nani kati ya interpreter/translator? hebu tumsikilize: Kenyan Cop Can't speak EnglishHahahaaaaa wewe umeamka nazo..!
Ok kwa faida yako na wengine traslator/mkalimani anafafanua neno kwa neno, na interpreter/ mfasiri anafafanua maana c lazima aende neno kwa neno
What is the different between translator and interpreter au kwa Kiswahili nini tofauti ya mkalimani na mfasiri?