DIGA DIGA Vs BOSCO COOL J NDANI YA ISUMBA LOUNGE LEO!!!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Kwa wale wa zamani kidogo wanafahamu hawa ni moja wa madansa wenye heshima kubwa.
Leo ndani ya Isumba lounge zamani Jolly Club patakuwa na mpambano kati ya wakongwe hawa wa disko.
Kamakawa kwenye machine DJ JD, DJ FAST EDDY na DJ YOUNG KELVIN watahakikisha hukai hata sekunde.

Kwa hisani ya MTAZAMO karibuni sana.
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka mbali sana enzi za msasani beach club.nyimbo kama yekeyeke kweli ilikuwa safi sana
 
kabuya kuna mtu anaitwa DJ FAST EDDY huyu ukizungumzia yenu ni aibu.
Ukifika pale leo kesho uje hapa kutoa ushuhuda jinsi mayenu yanavyopigwa.
 
Last edited by a moderator:
Madjs kama chris phaby the lover,niger jay.,holela kalikali mr a. john peter pantalakis ilikuwa hakai m2
 

Mkuu hii kitu haikuwa jana kweli?
 
Last edited by a moderator:
Digadiga,akishindwa tu lazima alianzishe,lakini sasa ashakuwa mtu mzima najua hatalianzisha,du long time.
 
Aaah othman diga diga namkumbuka tiptop hotel katika disco la mzee hashim Lundenga kabla hajajikita kwa watembea na vichupi!black moses,kurwa kitonga nawengineo nimewasahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…