Digba Sowey Vs Mshana Jr

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
983
Reaction score
2,306
Kwa muda mrefu sasa hapa Jf kumekuwa na mpambano.mkali Sana wa hoja Kati ya digba sowey na Mshana Jr kuhusu masuala ya ulozi na Uchawi huku kila mmoja akijinasibu kuwa na ufahamu mkubwa kuhusu taaluma ya ulozi kuliko mwenzake.

Tusiandikie mate wakati wino upo, Jesus is Here, John the Baptist is here and River Jordan is here so nothing can prevent baptism from happening.


digba sowey na Mshana Jr fungukeni ujuzi wenu kuhusu mashaka ya ulozi na Uchawi hapa ili Wana If wajudge Nani Kati yenu yupo vizuri kwenye masuala ya elimu ya ulozi na Uchawi.

Nawasilisha
 
Waambieni waniroge mimi kila mmoja kwa wakati wake halafu nitasema ni nani ana ushirikina mkali.
 
Mkuu, tuanze kuweka vyeti vya kuzaliwa ili turogwe sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Basi nimeahirisha, ajitolee mwingine.

Mchawi gani hajui tarehe yako ya kuzaliwa.. 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…