Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Eti wakuu, digidigi ni wanyama wa aina gani? Wanatofauti gani na swala? Wanafugwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
digidigi sizani kama kuna pori tanzania hii hawapo ungesema unatokea mkoa gani nikuelekeze chaka ukawindeEti wakuu, digidigi ni wanyama wa aina gani? Wanatofauti gani na swala? Wanafugwa?
Digi digi ni mnyama katika kundi la swala, ni mdogo kama mtoto wa mbuzi. Digidigi ni jina linatokana ni jina la huyo mnyama kwa kiingereza Kik-dik dik ambalo linatokana na kishindo cha miguu anapokuwa anakimbia. Mara zote huwa wawili kwa maana ya jike na dume. Jike akifa Haimchukui dume muda mrefu naye hufariki kutokana na kuomboleza kwa muda mrefuEti wakuu, digidigi ni wanyama wa aina gani? Wanatofauti gani na swala? Wanafugwa?
Mbeya sijawahi kuwaonadigidigi sizani kama kuna pori tanzania hii hawapo ungesema unatokea mkoa gani nikuelekeze chaka ukawinde
Ni jamii ile ile ila wao ni wadogo kimaumbile.Eti wakuu, digidigi ni wanyama wa aina gani? Wanatofauti gani na swala? Wanafugwa?
hiyo midume iache ujinga basDigi digi ni mnyama katika kundi la swala, ni mdogo kama mtoto wa mbuzi. Digidigi ni jina linatokana ni jina la huyo mnyama kwa kiingereza Kik-dik dik ambalo linatokana na kishindo cha miguu anapokuwa anakimbia. Mara zote huwa wawili kwa maana ya jike na dume. Jike akifa Haimchukui dume muda mrefu naye hufariki kutokana na kuomboleza kwa muda mrefu