Digital content creators kuanza kulipa kodi

Digital content creators kuanza kulipa kodi

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
Mabadiliko ya muswada mpya wa sheria ya kodi umefanyika na sasa digital content creator watakua wanalipa kodi
IMG_3596.jpeg
 
Hii serikali ya fisi asiye na elimu ni chenga mno.

Kijana kakisa ajira, kaona soko hilo halafu wao Wana kuja na mbinu za kumkandamiza.
 
Back
Top Bottom