M mwakani naolewa Senior Member Joined Jul 25, 2024 Posts 148 Reaction score 426 Sep 4, 2024 #1 Mabadiliko ya muswada mpya wa sheria ya kodi umefanyika na sasa digital content creator watakua wanalipa kodi
Mabadiliko ya muswada mpya wa sheria ya kodi umefanyika na sasa digital content creator watakua wanalipa kodi
A Anthony horowitz JF-Expert Member Joined May 4, 2024 Posts 421 Reaction score 1,042 Sep 4, 2024 #2 Hii serikali ya fisi asiye na elimu ni chenga mno. Kijana kakisa ajira, kaona soko hilo halafu wao Wana kuja na mbinu za kumkandamiza.
Hii serikali ya fisi asiye na elimu ni chenga mno. Kijana kakisa ajira, kaona soko hilo halafu wao Wana kuja na mbinu za kumkandamiza.
Extra miles JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 3,652 Reaction score 4,972 Sep 4, 2024 #3 Wako sahihi kabisa kukusanya income tax.
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Sep 4, 2024 #4 Sokwe mweupe said: Mabadiliko ya muswada mpya wa sheria ya kodi umefanyika na sasa digital content creator watakua wanalipa kodiView attachment 3086667 Click to expand... Wamefanya maksudi tu kuwadhibiti kina mwijaku.
Sokwe mweupe said: Mabadiliko ya muswada mpya wa sheria ya kodi umefanyika na sasa digital content creator watakua wanalipa kodiView attachment 3086667 Click to expand... Wamefanya maksudi tu kuwadhibiti kina mwijaku.
Uncle Reem Senior Member Joined May 14, 2023 Posts 115 Reaction score 210 Sep 4, 2024 #5 Hawa content creators wa Bongo nao walizidi mdomo,kutwa kusema wanaingiza mamillion mtandaoni, matokeo yake Serikali nayo imedhani kweli kuna mamillion huko.
Hawa content creators wa Bongo nao walizidi mdomo,kutwa kusema wanaingiza mamillion mtandaoni, matokeo yake Serikali nayo imedhani kweli kuna mamillion huko.