Digital/Cyber war: Tanzania tumejipagaje?

neo1

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
576
Reaction score
840
nimekutana nayo hii



my take:

kama makampuni yetu ya sim ndo wanunuzi wakubwa wa haya ma server na mitambo toka huawei na wakiwa wamarekani wanatengeneza back doors ina maana china tayari wanazo formal door je mawasiliano yetu yako salama kwa kiasi gani??.makampuni ya sim yanasemaje na serikali inasemaje??

serikali inampango gani na kukuza tec zetu,ikiwa jeshi bado linatumia yahoo adress na hii vita ya cyber war inatuathiri kwa kiasi gan??,hizi corporate company zetu zinajilinadaje??

je tuna bajeti ya kukuza technlogia yetu ikiwa elimu inapata fungu dogo kwenye bajeti yote,

kama kenya wameamua kuwekueza kwenye techlogia na kununua computer kwa wanafunzi wao..sisi tunawekeza kwenye nn??..maanna after some years kenya itakuwa mbele saana kwenye tec hapa east africa
Je Cyber crime unit ya police inakizi mahitaji yote ya jamii kwenye uharifu wa kimitandao?

are we naked???:shocked::shocked:
neo.
 
This is an interesting war mkubwa. And we are already very late in it. At this point, whatever you do or say might be used against you by tech superpowers.😡:thumbdown:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…