Naomba kwa anayejua jinsi ya kuandika/kutengeneza 'digital essay'. Nina-apply short courses za Netherlands, katika vitu wanavyotaka niambatanishe na application yangu ni pamoja na digital essay ya maneno 200, wamenipa topic. Sasa kwa ukweli sijawahi kuandika kitu kama hiki kwa hiyo kwa yule aliye na ujuzi huu anipe ideas.
wewe hujamuelewa!Mzee, kweli hujawahi kuandika "essay". Hii post akiiona hata mwallimu wako wa primary school atatamani kulia! Sema labda hiyo topic waliyokupa inakusumbua, lakini kama ni kweli hujui kuandika essay basi haustahili hata hiyo course!!! kweli kabisa mzee.....im afraid 2 say so!
nadhani digital essay ni kuandika kisha uitume kama 'soft copy' kwa kutumia barua pepe zao au katika hizo form unazo apply kutakuwa na mahali pa ku-attach, goodluck!