Digital marketing and social media manager nipo hapa

Digital marketing and social media manager nipo hapa

Big dady 11

Senior Member
Joined
May 21, 2023
Posts
109
Reaction score
128
Mambo vp wadau

Leo nmekuja km digital market.
Ni sekta muhimu sana wa wafanya biashara na watoa huduma.

Km unakampuni au biashara yoyote ile lazma utahitaji kuwafikia wateja wengi. Na njia rahisi ya kufikia watu ni kwa njia ya mtandao( website au social media)
Basi ukisha hitaji soko la mtandaoni ni vyema uwe na mtaalamu wa soko mtandao (digital marketing)


Vifuatavyo ni kazi ninazoweza kufanya kwenye digital marketing.

1, search engine optimization (SEO)
2, email marketing
3, graphics design
4, paid per click marketing (PPC)
5, video marketing
6, website marketing
7, social media marketing
8, content marketing

Km 2025 umepanga kuwafikia watu wengi ili kujua bidhaa au huduma zako basi unahitagi good digital marketing manager ..
Na huyo mtu mwenyewe ndo Mimi sasa nicheki DM au watsapp 0692477610 kwa maelezo zaidi.


Nje ya digital marketing pia mm ni videographer, photographer and graphics designer. Pia content creator..

Maboss naskia mnatuogopa sisi wenye talanta zaidi ya moja (multipurpose) ...

Biashara au kampuni yako unahitaji watu kama sisi Wala hatuitaji mishahara yenye sifuri nyingi 😁..


Watsapp 0692477610
 
Mkuu fiverr kule majama SEO,email marketing hasa klaviyo na instagram managers wanasoko sana mwamko wa wabongo naona bado ila ni sector nyeti sana kupromote sales.
 
Vipi unaweza kuleta wateja 50-100 kwa siku, kwa mwaka mzima? Na unaweza kutumia Grey/Black Hat method ku-advertise?
 
Vipi unaweza kuleta wateja 50-100 kwa siku, kwa mwaka mzima? Na unaweza kutumia Grey/Black Hat method ku-advertise?
Ndio naweza tumia black hat method..
Kuhusu kuleta wateja sjaelewa kuwaleta vp hapo. Ila naweza fanya uwafikie wateja wengi sana.
 
Mkuu fiverr kule majama SEO,email marketing hasa klaviyo na instagram managers wanasoko sana mwamko wa wabongo naona bado ila ni sector nyeti sana kupromote sales.
Ni kwel ni sector ambayo kibongo bongo bado watu awajajua umuhimu wake
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Safi. Biashara inayojitangaza ni sawa na kuwa a fremu eneo lenye wateja wengi.
 
Back
Top Bottom