The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Asante.. ngoja tusubiri wadau wengineKutangaza kupitia mitandao,
Soko lake sijui
Kujiajiri unaweza ukawa freelancer, unaweza anzisha social media marketing agency, ukaanzisha newsletter, ukawa consultant, ukawa mtaalam wa SEO nk
Hii SEO ni Nini?Kutangaza kupitia mitandao,
Soko lake sijui
Kujiajiri unaweza ukawa freelancer, unaweza anzisha social media marketing agency, ukaanzisha newsletter, ukawa consultant, ukawa mtaalam wa SEO nk
search engine optimizationHii SEO ni Nini?
Youtube.Bonjour
Kuna hii kozi Ina itwa Digital marketing
Naomba maelezo ya kina kuhusu hii kozi,
Nawezaje kujiajiri?
Soko lake lipoje?
SijakuelewaMkuu hakuna kozi ya kukuwezesha kujiajiri,
Ila kazi ya marketing ni kukupa ufasaha na mbinu za kuuza bidhaa au huduma unayotoa. Anza kusearch you tube bure
Pia tuwasiliane
Nimekuelewa vizuriKwa siku zinazokuja marketing itahamia asilimia 100 na kuwa digital marketing hivyo mtu akisoma bachelor of digital marketing its better kuliko pure marketing management kwa sababu ukiwa na skills za digital marketing utaweza reach a lot of customer hii nzuri sana ukiwa hutaki kuajiliwa unajiajiri ww mwenyewe ukiwa mjasiliamali
Mkuu hakuna kozi ya kukuwezesha kujiajiri,
Ila kazi ya marketing ni kukupa ufasaha na mbinu za kuuza bidhaa au huduma unayotoa. Anza kusearch you tube bure
Pia tuwasiliane
Digital marketing ni kazi inayohusisha kutafuta masoko ya bidhaa au huduma kupitia "digital channels".Bonjour
Kuna hii kozi Ina itwa Digital marketing
Naomba maelezo ya kina kuhusu hii kozi,
Nawezaje kujiajiri?
Soko lake lipoje?
Mkuu Asante sana.. Vipi kuhusu fursa zake , Yani ujira wake na kipatoDigital marketing ni kazi inayohusisha kutafuta masoko ya bidhaa au huduma kupitia "digital channels".
Tofauti yake na traditional marketing ni kwamba ,traditional marketing inatumia traditional methods kama radio, Tv, mabango n.k.
Faida kubwa ya digital marketing ni specifity na data analysis.
Kwamba unatangaza huduma/bidhaa kwa walengwa wako maalumu kupitia channel wanazozitumia zaidi, pia unaweza kupata data zinazoonyesha umefanikiwa au umeshindwa kupitia campaign au maudhui yako. Tofauti na traditional marketing yenyewe ni Generalized na haina data
Digital marketing ina branch kubwa tano(5)
-Search engine optimization & marketing
-Social media management & marketing
-Email marketing
-Content marketing
-Paid advertising (google, meta ads etc)
Kozi ya digital marketing inatolewa na chuo cha CBE kwa hapa Tz.
Mimi ni expert digital marketer, kwa changamoto kuhusu digital marketing na jinsi ya kupata masoko kupitia mitandao .
Tuwasiliane hapa 0782 265 594
Fursa ziko mbili;Mkuu Asante sana.. Vipi kuhusu fursa zake , Yani ujira wake na kipato
Asante sana.. Namba yako ninayo, nitakutafutaFursa ziko mbili;
1. Kujiajiri
Hapa utakuwa freelancer unauza ujuzi wako kwenye masoko ya ndani na nje(fiverr, upwork, Guru n.k) kama kina Mafole n.k
2. Kuajiriwa
Katika hizo branch 5 unaweza kuajiriwa hapa nchini au nje. Changamoto ya soko la ndani ni wateja wengi hawajui wanataka nini,
Anza kwa kusoma foundation yote kuna free course nyingi ya Google ni nzuri zaidi, kisha chagua eneo moja jinoe sana hadi uwe expert utoboe. Kila la kheri mkuu