Digital World is coming soon or later

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Revolution is going on. The Robotic World is around the corner.

Innovation of Technology kwa sasa imefikia kiwango kikubwa mno. Kunavifaa kwa sasa vinauwezo wa kusoma mawazo na akili zako. Kunavifaa vipo vyenyeiwezo wa kusoma DNA yote ya mwili wa binadamu.
Miili tuliyonayo umegubikwa na magonjwa na hatimaye uzee na kisha kifo.

Tumepoteza watu wengi wazuri sana ambao walifanya na wangeendelea kuwepo wangeleta mageuzi makumbwa mno kwenye dunia hii.

Lakini kutokana na mwili kuzeeka na kuchoka na mwisho wake kifo vimesababisha watu hao tuwapoteze.

Siri nyingi zimepotea na bila kumbukumbu. Technology sasa imekuwa kubwa mno.

Kugunduliwa kwa 5G itakuwa ni mwanzo wa kuelekea katika digital body rather than fresh body.

5G technology imebeba mambo mengi sana, ikiwamo kusafirisha taarifa nyingi kwa kutumia bandwidth ndogo sana.

Sasa basi kwakuwa mwili wetu ni chombo kinachobeba nafsi ndani take. Na nafsi inahifadhi vitu vingi ambavyo hatima huonekana kwa kupitia miili yetu. Nafsi ni kama daraja linalounganisha Taarifa zikazotoka Rohini na zinazotoka kwenye mwili.

Nafsi imejumuisha mambo makuu matatu:-
1. Ufahamu
2. Utashi
3. Hisia

Roho inajua mengi mno, huku nafsi ikiwa inapokea yotokayo rohoni na kuyachuja kulingana na matakwa ya mwili na kuyafanya yaonekane. Kwakuwa miili yetu ni dhaifu haiwezi kuhimili mambo mengi yaliyo ndani ya Nafsi inakuwa ni vigumu kuyaweka yote bayana.

Sasa basi Technology kwa sasa ndiye mkombozi wa karibu kutusaidia kuweza kuyaweka bayana mengi yaliyo kwenye nafsi. Na mengi yaliyo kwenye nafsi yanatoka kwenye Roho zetu.

Kwa sasa inatafutwa namna ya muweza kuvuna nafsi kutoka kwenye mwili mmoja na kuuweka kwemye digital vessel. Hatimaye mtu amaweza kuishi na kuweza ku-control universe.

Our body limited by Time and Space. Time ndiyo issue kwenye miili yetu.

Imagin our body is not fresh !!!
 
What is time!?
Is the sequence of moments.
So if is that, what does Past, Now and Future mean!?
What is the moment of now!?
Nakuja tujadili sasa.
 
Mtu mwingine atauliza if Time is the sequence of moments, so what is moment!?
Moment is the happening of event.
 
Every and each event happening count the moment. The frequency of happening is that we call Time.

So if is that the case your moment can differ from my moment.
 
In physics we say Unit of measure of time is second. But actually second is not a unit of measure of time, second is just a count of tick on a clock.
We can say is a moment of an arrow inside a clock. But not the universal measure of Time.
 
Hapo kw mawazo na akili jomba tutapishana tena kw mbali sana...

Kingelianza kusoma mawazo ya hayawani kwanza ndipo kije kw binadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…