Siyo kweli.Magu angekua dikteta bora kama angepewa muda
Udikteta ni nini ? Na Demokrasia ni nini ?Dikteta anaeitoa nchi yake pabaya na kuifikisha pazuri, huyo siyo dikteta, ni lazima baada ya kuchukua nchi ali adopt mifumo ya kidemokrasia.
Udikteta haujawahi kuleta maendeleo.
And one party state kama aliotuachia kwa kuondoa wabunge wa upinzaniSiyo kweli.
Huwezi kuendesha nchi kwa mfumo wa ''One man show'' upate maendeleo.
Common Sense.Nani alikuambia ?
Mimi ananiuliza eti ''nani kakuambia?''And one party state kama aliotuachia kwa kuondoa wabunge wa upinzani
Park Chung Hee simfahamu.Udikteta ni nini ? Na Demokrasia ni nini ?
Vipi ni viashiria au misingi ya udikteta na vipi ni viashiria au misingi ya demokrasia ?
General Park Chung Hee unamfahamu ?
HufahamuMimi ananiuliza eti ''nani kakuambia?''
Nimemjibu kwa kifupi, ''common sense''
Dikteta hawezi kuleta maendeleo.
Atakachokifanya ni kulazimisha media kumsifia, kama alivyofanya Magu, anachofanya Kagame na alichofanya Gaddafi.
Yeah, sometimes common, sometimes not.Common sense is not so common.
HufahamuPark Chung Hee simfahamu.
Udikteta ni hali ya kiongozi kuendesha nchi kwa matakwa yake binafsi, bila kushauriwa au kushirikisha wengine,
na muhimu zaidi bila kufuata sheria za nchi husika.
Demokrasi ni kinyume cha mambo tajwa hapo juu.
kumbe ni nini?Hufahamu
Umeniambia sifahamu, nimekuuliza kumbe ni nini?, hujasema.
Sijamtagg kwa sababu yako.Umeniambia sifahamu, nimekuuliza kumbe ni nini?, hujasema.
Badala yake unamuita thesym!
Ni kwamba huna uelewa wa mada uliyoleta mezani ama umekuja na majibu yako hutaki maoni tofauti?
Kama ni hivyo kulikuwa na haja gani ya kuleta mada jamvini?