Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,717 Reaction score 13,443 Jun 12, 2025 #21 Mi mi said: Sijamtagg kwa sababu yako. Ni kawaida kumtagg katika nyuzi zangu. Ni kwamba hufahamu hata huo udikteta na demokrasia Click to expand... Tuambie sasa wewe unaeufahamu, ukoje?
Mi mi said: Sijamtagg kwa sababu yako. Ni kawaida kumtagg katika nyuzi zangu. Ni kwamba hufahamu hata huo udikteta na demokrasia Click to expand... Tuambie sasa wewe unaeufahamu, ukoje?
Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 6,406 Reaction score 12,736 Jun 12, 2025 Thread starter #22 Mjuni Lwambo said: Tuambie sasa wewe unaeufahamu, ukoje? Click to expand... Nikuambie wewe na nani ?
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,717 Reaction score 13,443 Jun 12, 2025 #23 Mi mi said: Nikuambie wewe na nani ? Click to expand... Mimi mchangia mada yako. Kama unaleta mada halafu unaulizwa unasema ''nikwambie wewe nani?'' ni dalili ya matatizo ya akili, kama ulijua huwezi kujadili usingefungua uzi. Wanawake wengine mkiwa kwenye 'siku zenu' mnasumbua sana.
Mi mi said: Nikuambie wewe na nani ? Click to expand... Mimi mchangia mada yako. Kama unaleta mada halafu unaulizwa unasema ''nikwambie wewe nani?'' ni dalili ya matatizo ya akili, kama ulijua huwezi kujadili usingefungua uzi. Wanawake wengine mkiwa kwenye 'siku zenu' mnasumbua sana.
M mkulimamiwa JF-Expert Member Joined Mar 4, 2025 Posts 2,591 Reaction score 5,315 Jun 13, 2025 #24 Mjuni Lwambo said: Siyo kweli. Huwezi kuendesha nchi kwa mfumo wa ''One man show'' upate maendeleo. Click to expand... Kwani nini maana ya Udicteta mkuu
Mjuni Lwambo said: Siyo kweli. Huwezi kuendesha nchi kwa mfumo wa ''One man show'' upate maendeleo. Click to expand... Kwani nini maana ya Udicteta mkuu