Kiongozi sometimes ni vyema sana kuushirikisha mwili mzima wakati unajadili na kuandika uzi mbali mbali. Ukitumia mahaba peke yake ukaacha akili ni shida, ukitumia mahaba ukaacha busara pia ni shida na hata ukitumia mahaba ukaacha ukweli ni shida sana. Jipe muda, jipe nafasi, chambua mada kisha itazame kwa 3d alafu toa majibu yako.Kodi lazima ilipwe eti wafanya biashara 600+ wa kiasia umewatoa wapi na uliukuwa unaandika kila mmoja hizi hoja za vijiwe vya kahawa hizi leo zinapelekwa bungeni...
Wauza unga kama wewe mnadhani akitoka Magufuli mtaachiwa mchezee nchiKiongozi sometimes ni vyema sana kuushirikisha mwili mzima wakati unajadili na kuandika uzi mbali mbali. Ukitumia mahaba peke yake ukaacha akili ni shida, ukitumia mahaba ukaacha busara pia ni shida na hata ukitumia mahaba ukaacha ukweli ni shida sana. Jipe muda, jipe nafasi, chambua mada kisha itazame kwa 3d alafu toa majibu yako.
Huo ndio uungwana mkuu. Nikutakie mchana mwema kiongozi.
Ungeacha wajadili wenye akili kwanza.Kodi lazima ilipwe eti wafanya biashara 600+ wa kiasia umewatoa wapi na uliukuwa unaandika kila mmoja hizi hoja za vijiwe vya kahawa hizi leo zinapelekwa bungeni
Hawa magabachori kina manji wacha wakimbie tu na TRA kila siku inavuka kiwango cha ukusanyaji
Mwambieni mbowe alipe kodi la sivyo akimbie na yeye
Kodi lazima ilipwe eti wafanya biashara 600+ wa kiasia umewatoa wapi na uliukuwa unaandika kila mmoja hizi hoja za vijiwe vya kahawa hizi leo zinapelekwa bungeni
Hawa magabachori kina manji wacha wakimbie tu na TRA kila siku inavuka kiwango cha ukusanyaji
Mwambieni mbowe alipe kodi la sivyo akimbie na yeye
TBL na TCC wamepunguza uzalishaji kwa asilimia 30Mimi maenyewe nilifunga toka 2016 niko zangu kitwe nasafirisha mzigo, unafika bandarini nalipa kama transit navusha nakonde nashusha kitwe nauzia wacongo na siko peke yangu tuko 12 tuliokuja huku na maduka tulifunga muendelee kuangalia hiyo milango tutakutana krismasi then tunarudi kupiga kazi huku, karibu Zambia, ulibwaanji?
Sawa boss mi nauza unga. Heri yako wewe usiyeuza unga sasa sijui unauza niniWauza unga kama wewe mnadhani akitoka magufuli mtaachiwa mchezee nchi
TBL na TCC wamepunguza uzalishaji kwa asilimia 30
Mkuu watu wa type hii, utaumiza kichwa, Tanzania Kuna kizazi Cha ajabu, sijui ni chipsi na kuku za kisiasa ndo zinaalibu kizazi hiki, mtu anaangalia alipo bila kuangalia kesho Kama vile ataishi milele, bongo zetu hatuzishughulishi, kila kitu sawa, kizazi hiki hakijiamini, upeo wa kupembua Mambo ,hasara ,faida, zake hakuna, mpaka Sasa Hata elim za vyuo hazisaidi ,tupo tupo tunaenda ili mladi ushabiki tu,Kiongozi sometimes ni vyema sana kuushirikisha mwili mzima wakati unajadili na kuandika uzi mbali mbali. Ukitumia mahaba peke yake ukaacha akili ni shida, ukitumia mahaba ukaacha busara pia ni shida na hata ukitumia mahaba ukaacha ukweli ni shida sana. Jipe muda, jipe nafasi, chambua mada kisha itazame kwa 3d alafu toa majibu yako.
Huo ndio uungwana mkuu. Nikutakie mchana mwema kiongozi.