Dilema

Ukitaka ukweli huyo jamaa 'is afraid of commitment' au hayuko tayari kuwa na mahusiano ya kueleweka sasa huo utani mwingi ni njia yake ya kukwepa.
 
dah!samahani kwa kuingilia uhuru wako ila hili neno kutajwa hapa hadharani limenikwaza kwakweli!!
nini kilichokukwaza mbona neno la kawaida tu,nyie ndio mnaofanya hata mijadala ya mimea ipelekwe jukwaa la wakubwa MWE!
 
aminata! we unataka msaada upi now??? maana mi sion cha kusaidiwa!!!
 

May be alikuta kitu sio tamu...
 
wanajiita masharobaro sijui achana nae huyo muuza sura
 
daahh.. kwahiyo anakuboaa ??... wamtaka..?? anakutaka???? au . mbona mwatupa kazi ya kujibu sredi
 
Hapo underlined, uliharakia nini, unatiana unaporidhika na kila sekta mpenzi, hapo ndio uliharibu kabisa..pole sana
 
Hapo underlined, uliharakia nini, unatiana unaporidhika na kila sekta mpenzi, hapo ndio uliharibu kabisa..pole sana

aliharibu nini hapo?lol
mwenyewe unaona anasema hamjui viizuri na wala hajui kama ni single au laa
lakini akatiana nae kwa utashi wake....sasa wewe na wivu wako eti kaharibu...lol
taratibu wewe...
 
aliharibu nini hapo?lol
mwenyewe unaona anasema hamjui viizuri na wala hajui kama ni single au laa
lakini akatiana nae kwa utashi wake....sasa wewe na wivu wako eti kaharibu...lol
taratibu wewe...
Basi asiulize kitu, maana kama huitaji kujenga uhusiano ndio mnakimbilia kusex, baada ya kusex ndio anaanza kumchunguza na kugundua vitu vingi hapendi, hii haifanywi kwa unaetaka future nae bana TB
 
<br />
<br />
Aminata darlin it sounds like u two have some sort of a "puppy love". Ila kama umempenda kwa dhati na umri una ruhusu funguka umwambie vitu vinavyokukera and try to tolerate him while he progresses! Wish u luck.. Ila nawe unasema hujamjua vizuri wakati mshafanya kamchezo...mweh ushamjua hapo!
 
nampenda sana but he seems not to understand me at all
<br />
<br />

Or u don't want to understand him!

Kwanini wanawake tunajidanganya kuwa twaweza wabadilisha wanaume?

Muache awe himself nawe uwe urself; kama hamwezi cope with each other then break!
 
wewe nikionyesha kuwa nakupenda utapata kichwa ndio maana sitaki kufanya hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…